GE2025 Hamasa ya Watanzania kwenye masuala ya siasa inatishia amani ya mafisadi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
15,774
Reaction score
35,994
Watanzania wameamka mno

Story za Yanga na Simba hazitambi mtaani

Story za udaku za sijui Diamond kaachana na nani hazitambi

Magazeti ya siasa yananunuliwa mno

Watu wanahoji mambo ya msingi Kwa uchungu

Mtanzania wa Sasa sio wa kipindi cha Mzee Mwinyi

Ati kwamba Mtanzania wa Sasa utamnyamazisha Kwa hongo ya baiskeli na fulana ya CCM, aaah sio kweli

Makundi yote ya vijana na wazee wote wamestuka kuibiwa na kupumbazwa Kwa muda mrefu

Hadi askari wetu nao wameamka kuwakataa mafisadi na kuungana na Wananchi, wamechoka kulinda amani ya mafisadi na huku wao wakiwa na njaa kali

Mitandao watu wanafatilia zaidi siasa

Mafisadi yanahara Kwa hofu

Mgombea wao anawaza mno

Hata akijiapisha lakini hatatawala Kwa amani

Mafisadi hayajui yadhibiti wapi, mtandaoni Kuna moto, nyumba za ibada moto, media za kimataifa moto, vijiweni moto

Mafisadi yamehonga Sasa yamechoka

Nina uhakika baada ya mwaka 1 anaweza akajiuzulu
 
Ni kweli majani hawana amani, wengine wanatamani hata Oktoba 29 isifike, wengine hadi viongozi wamevulugwa na kuanza kubananga maneno, yule mkuu wa kitambo jana kazingua akaanguka hadhalani, mwingine nae huyu leo kaita wenzake mazwazwa mbele ya camera, yaani wamevulugwa hadi wamesahau siasa ni mchezo wa maigizo, badala ya kuigiza kama walivyo zoea wanatoa makucha mchana kweupe.
 
Tumechoka Mafwele huwezi tumaliza wote

Hamana kitu hapo
 
Mods naombeni mnifanyie marekebisho na mtoe 'a' kwenye Hamasa, nilikosea....
 
Ni kweli majani hawana amani, wengine wanatamani hata Oktoba 29 isifike, wengine hadi viongozi wamevulugwa na kuanza kubananga maneno, yule mkuu wa kitambo jana kazingua akaanguka hadhalani, mwingine nae huyu leo kaita wenzake mazwazwa mbele ya camera, yaani wamevulugwa hadi wamesahau siasa ni mchezo wa maigizo, badala ya kuigiza kama walivyo zoea wanatoa makucha mchana kweupe.
Mkuu yupi huyo aliyeanguka hadharani ?
 
Watanzania wameamka mno

Story za Yanga na Simba hazitambi mtaani

Story za udaku za sijui Diamond kaachana na nani hazitambi

Magazeti ya siasa yananunuliwa mno

Watu wanahoji mambo ya msingi Kwa uchungu

Mtanzania wa Sasa sio wa kipindi cha Mzee Mwinyi

Ati kwamba Mtanzania wa Sasa utamnyamazisha Kwa hongo ya baiskeli na fulana ya CCM, aaah sio kweli

Makundi yote ya vijana na wazee wote wamestuka kuibiwa na kupumbazwa Kwa muda mrefu

Hadi askari wetu nao wameamka kuwakataa mafisadi na kuungana na Wananchi, wamechoka kulinda amani ya mafisadi na huku wao wakiwa na njaa kali

Mitandao watu wanafatilia zaidi siasa

Mafisadi yanahara Kwa hofu

Mgombea wao anawaza mno

Hata akijiapisha lakini hatatawala Kwa amani

Mafisadi hayajui yadhibiti wapi, mtandaoni Kuna moto, nyumba za ibada moto, media za kimataifa moto, vijiweni moto

Mafisadi yamehonga Sasa yamechoka

Nina uhakika baada ya mwaka 1 anaweza akajiuzulu
downloadfile-1.png
 
Ili ashinde zinahitajika kura ngapi?

Usipoteze muda wako.

Ama kubali kujitoa muhanga au uendelee kulialia mtandaoni?
 
Huna akili
Nimeuliza ili mgombea atangazwe mshindi Tanzania anahitaji kura ngapi?

Akipata nyingi kuliko wenzake, vipi watu wasipojitokeza na wachache wakapiga kura, je zinatosha kumtangaza mshindi?
 
Back
Top Bottom