Algeria,Morocco, Tunisia na Egypt. Inajulikana wazi wakazi wa asili wa Egypt siyo hao akina Mohammed Salah (Waarabu).North Africa wapi?
Ndiyo maana nasema hata hiyo akili kidogo huishugulishi.Uselete mipasho tuambie kafia wapi maana familia wamesema hawafahamu chochote wanasubiri kufahamishwa wewe mshabiki mandazi wanakesha JF kuropoka porojo unaokota maneno kwenye vijiwe vya mbege unaleta JF
Jishughulishe kuujua ukweli. Unafahamu senyenge imejengwa lini? Senyenge ilijengwa baada ya tukio gani?Hamas wanaposhambulia huwa ni kulipa kisasi kwa unyama wanaofanyiwa na wayahudi. Hizo mara nyingi wanazofanyiwa unyama na uzayuni haziongolewi na CNN, BBC na hivyo hazijulikani.
Wayahudi kwa kuwa na ushawishi kwenye media za magharibi huwa hawaandikwi kabisa mabaya yao, wana sera ya kujenga senyenge ili kuwabagua wapalestine sawa sawa na zile sera za ukaburu wa afrika ya kusini miaka ile, apartheid.
Ukiwashambuliwa wayahudi utapachikwa jina la antisemitic, michael jackson alipowataja tu kwenye nyimbo yake moja wakamwamuru afute hicho kipande, wao ndio wamiliki wa hizo kampuni maarufu za Sony Records na Arista Records hivyo wakawa na nguvu kwa kazi ya marehemu MJ.
Wayahudi ni washenzi tu. Ni kweli inasikitisha kuona Hamas wakifanya unyama lakini tukumbuke kuuongelea ushenzi na ukatili wa wayahudi. Walimuua Yesu bila ya hatia, hawashindwi kusambaza unyama wao duniani pote.
Uharo mtupu ufahamu chochote kuhusu kuhusu mashariki ya kati labda wadanganye mapunguani wenzako,Jishughulishe kuujua ukweli. Unafahamu senyenge imejengwa lini? Senyenge ilijengwa baada ya tukio gani?
Watu wanashambuliwa kwa kushtukiza, unataka wasijenge senyenge kujilinda? Unafahamu ni mara ngapi waarabu wa Gaza wamewashambulia na kuwaua waisrael kwenye vivuko kwa kushitukiza? Unafahamu ni mara ngapi waarabu wa Gaza wamewaua wanaoitwa wayahudi wavamizi wa maeneo mapya ya waarabu wa Palestina?
Hayo mauaji yanayoendelea wakati wote, hata katika vipindi vinavyoonekana kuna utulivu, yanatokana na kutoaminiana. Hata mtu akiambiwa anyoshe mikono, bahati mbaya hakusikia vizuri, akaingiza mkono mfukoni, anapigwa risasi kwa kuhisiwa tu kuwa huenda anachukua bomu mfukoni. Bila ya kukoma mashambulizi ya kuvizia yanayofanywa na waarabu wa Gaza, hakuna kuaminiwa na waisrael, bila ya kuaminiana, mauaji yataendelea. Kila kukitengenezwa mazingira ya kuanza kuaminiana, makundi ya kigaidi kama Hamas, yanaharibu. Abbas Mahmoud alifanikiwa kwa kiasi fulani, na makubaliano yakafikiwa juu ya kuanzisha Taifa la Palestina, kwa kupitia hatua kadhaa ili Israel ipate imani kuwa Taifa hilo la Palestine halitakuwa hatari kwa usalama wake, wakaanza na mamlaka huru ya Palestina, lakini mashambulio ya Hamas yakavuruga kila kitu.
Bila ya kuyafuta makundi ya kigaidi ya waarabu, hakutakuja kuanzishwa Taifa la Palestina maana Israel hawatakubali kuwa na Taifa la kigaidi mlangoni pake, na kama taifa la Palestina halitaanzishwa, makundi haya ya kigaidi yanayotengenezwa na Baba wa ugaidi, Iran, yataendelea na mashambulizi dhidi ya Israel, na Israel ikishambuliwa haitaacha kujibu mashambulizi, na kwa vile hawa magaidi hujificha miongoni mwa raia, vifo vya waarabu wa Palestina wasio na hatia vitaendelea.
Nchi ngapi duniani umewahi kuona senyenge inawekwa kutenganisha raia wanaoishi kwa umoja?.Jishughulishe kuujua ukweli. Unafahamu senyenge imejengwa lini? Senyenge ilijengwa baada ya tukio gani?
Watu wanashambuliwa kwa kushtukiza, unataka wasijenge senyenge kujilinda? Unafahamu ni mara ngapi waarabu wa Gaza wamewashambulia na kuwaua waisrael kwenye vivuko kwa kushitukiza? Unafahamu ni mara ngapi waarabu wa Gaza wamewaua wanaoitwa wayahudi wavamizi wa maeneo mapya ya waarabu wa Palestina?
Hayo mauaji yanayoendelea wakati wote, hata katika vipindi vinavyoonekana kuna utulivu, yanatokana na kutoaminiana. Hata mtu akiambiwa anyoshe mikono, bahati mbaya hakusikia vizuri, akaingiza mkono mfukoni, anapigwa risasi kwa kuhisiwa tu kuwa huenda anachukua bomu mfukoni. Bila ya kukoma mashambulizi ya kuvizia yanayofanywa na waarabu wa Gaza, hakuna kuaminiwa na waisrael, bila ya kuaminiana, mauaji yataendelea. Kila kukitengenezwa mazingira ya kuanza kuaminiana, makundi ya kigaidi kama Hamas, yanaharibu. Abbas Mahmoud alifanikiwa kwa kiasi fulani, na makubaliano yakafikiwa juu ya kuanzisha Taifa la Palestina, kwa kupitia hatua kadhaa ili Israel ipate imani kuwa Taifa hilo la Palestine halitakuwa hatari kwa usalama wake, wakaanza na mamlaka huru ya Palestina, lakini mashambulio ya Hamas yakavuruga kila kitu.
Bila ya kuyafuta makundi ya kigaidi ya waarabu, hakutakuja kuanzishwa Taifa la Palestina maana Israel hawatakubali kuwa na Taifa la kigaidi mlangoni pake, na kama taifa la Palestina halitaanzishwa, makundi haya ya kigaidi yanayotengenezwa na Baba wa ugaidi, Iran, yataendelea na mashambulizi dhidi ya Israel, na Israel ikishambuliwa haitaacha kujibu mashambulizi, na kwa vile hawa magaidi hujificha miongoni mwa raia, vifo vya waarabu wa Palestina wasio na hatia vitaendelea.
Wewe una akili gani unaandika magazeti marefu uharo mtupu.Ndiyo maana nasema hata hiyo akili kidogo huishugulishi.
Familia inasubiri taarifa rasmi ya Serikali lakini Hamas wameeleza kilichotokea, ingawa hakuna uhakika wa ukweli wa maelezo yao.
Umeeleza vizuri sasa nimeuelewa vema huu mgogoro. Swali ninalojiuliza nikiwa kama mtu nisiyefungamana na upande.Hii ni hadithi iloyotengenezwa na mtu mwenye interest yake, lakini siyo uhalisia wa mambo yalivyokuwa.
Kabla ya 1948, wakati wa tawala mbalimbali za wakoloni, Wayahudi walishuhudia mateso mengi ikiwemo kukaa utumwani, kuanzia tawala zile za Babylon, na hatimaye Ottoman empire, na mwishoni kabisa ni ukoloni wa Mwingireza. Hali hiyo ilisababisha Wayahudi wengi kuhama Palestine na kwenda mataifa mbalimbali Duniani, wakiwaacha wayahudi wachache.
Mpaka mwaka 1939, Palestine ilikuwa na wakazi mbalimbali, wakiwemo Waarabu (ambao walikuwa wengi), Wayahudi na jamii nyingine, ambao walikuwa wachache. Baada ya vita vya pili vya Duniani, wayahudi wengi waliokuwa Ulaya, waliamua kurudi Palestine kwa lengo la kuunda Taifa lao, na movement hiyo ilianzia wakiwa huko Ulaya (kama ilivyokuwa kwa akina Kwame Nkrumah na akina Nyerere), lengo likiwa kumwondoa mkoloni Mwingereza.
Wayahudi waliourudi Palestine na wale waliokuwa nje waliendelea kuongeza nguvu ya kutaka kupatikane Taifa la Israel, yaani Palestine yote itambulike kuwa ni nchi ya Israel. Mwaka 1947, kamati ya Nations League, ilitoa mapendekezo ambayo yalikuja kukubalika kwa uwingi wa kura, kuwa Palestine igawanywe sehemu mbili, 55% ya eneo lote la Palestine liunde Taifa la Israel, na 45% wapewe Waarabu. Waarabu wakiungwa mkono na nchi za kiarabu waligomea mgawanyo huo wakidai kuwa Wayahudi wamepewa eneo lililokuwa na ardhi nzuri ya kilimo, na wao wameachiwa ardhi isiyo na rutuba, na isiyo na eneo la uvuvi.
Malalamiko yao hayakupewa uzito. Mwaka 1948, kwa azimio no. 181, Umoja wa mataifa ulilitambua rasmi Taifa la Israel. Mwaka huo huo, Waarabu walianzisha vita ambavyo walishindwa, na kupoteza 60% ya eneo lote lile la 45% walililokuwa wameachiwa awali kwa mujibu wa azimio la Umoja wa Mataifa.
Vita ndogo ndogo ziliendelea hapo katikati, ikiwemo ya 1956, ambayo ilisababisha Misri kupoteza eneo la Sinai. Mwaka 1967 jkaja vita kubwa waliyoianzisha nchi za kiarabu, iliyosababisha Waarabu wa Palestina kupoteza maeneo ya West Bank, Gaza strip, Golan Heights na East Jerusalem.
Ifahamike kuwa mpaka mwaka 1948 hakukuwa na kabila la Waplestina wala Wasrael pale Palestine. Palestine, wakati huo ilikuwa ni ardhi iliyokuwa inakaliwa na Waarabu, Wayahudi na jamii nyingine ndogo ndogo.
Kosa kubwa walililokuwa wamefanya wale waarabu wa Palestine ni wao kushindwa kuanzisha Taifa lao kwenye arshi ile 45% waliyokuwa wameachiwa. Kukosa maarifa, na kuamini watawanyang'anya wayahudi ardhi waliodai wao kuwa ni nzuri ya kilimo, kumewafanya wapoteza 90% ya ile ardhi 45% waliolyokuwa wameachiwa.
Before 1948, Palestine was home to a diverse population of Arabs, Jews, and Christians, as all groups had religious ties to the area, especially the city of Jerusalem.
Who originally settled in Palestine?
The term `Palestine' was originally a designation of an area of land in southern Canaan which the people known as the Philistines occupied a very small part of. The Canaanites, Canaanite-Phoenicians, and the Israelites, among others, established themselves in the area much earlier.
Who controlled Palestine before Israel?
The land itself was under the control of various empires, such as the Assyrians, Babylonians, Persians, Greeks, Romans, Byzantines, and eventually the Islamic Caliphate and the Ottoman Empire.
The Roman Emperor Hadrian changed the provincial administrative name of Judaea to Palestine.
How many Jews were in Palestine 1922?
The reported population was 757,182, including the military and persons of foreign nationality. The division into religious groups was 590,890 Muslims, 83,794 Jews, 73,024 Christians, 7,028 Druze, 408 Sikhs, 265 Baháʼís, 156 Metawalis, and 163 Samaritans
Kwa hiyo kusema kuwa kabla ya 1948, hakukuwa na Wayahudi Palestine, ni uwongo mkubwa. Walikuwepo, lakini idadi yao ilikuwa ndogo kuliko idadi ya Waarabu.
Hawa wengi wanameza propaganda za Marekani na Ulaya yaani Marekani na Ulaya kusema Hamas ni magaidi na yeye anasema lazima Hamas ifutwe utaifuta Hamas kila kukicha raia waliopigia kura Hamas mnawauwa.Nchi ngapi duniani umewahi kuona senyenge inawekwa kutenganisha raia wanaoishi kwa umoja?.
Huo ni ukaburu tu alioukataa Mwalimu Nyerere, uliokataliwa dunia nzima.
Wayahudi kwa sasa hawana tena ile sympathy ya dunia nzima, kuna mitandao kama Instagram ipo dunia nzima na ina vyanzo vingi vya elimu.
Hakuna nafasi kwa status quo ya siku za nyuma kuendelea kuwa mtetezi kwa unyama wanaowafanyia wasio na hatia pale Gaza na Israel kwa ujumla.
Ni watu makatili sana lakini unyama una mwisho siku zote.
CNN na propaganda zao imeteka akili za kitanzania, kile ni chombo cha habari cha mazayuni hakiwezi kuweka video za mateso wanayopata Yatima wa Gaza.Hawa wengi wanameza propaganda za Marekani na Ulaya yaani Marekani na Ulaya kusema Hamas ni magaidi na yeye anasema lazima Hamas ifutwe utaifuta Hamas kila kukicha raia waliopigia kura Hamas mnawauwa.
Elon Musk: “If you kill someones child in Gaza, you have made a few new Hamas members”🇮🇱
Angalia hii video chini mtoto anakwenda kumzika mtoto mwenzake kisha mtu yupo Kimara Temboni eti anatoa povu lazima Hamas ifutwe.
Punguza malalamiko mkuu.Kwa nchi zilizostaarabika zinazoongozwa na Setikali zilizostaarabika, hakuna kilicho muhimu kama uhai wa wananchi wao.
Magaidi ya Hamas, yalipoingia Israel na kufanya mauaji makubwa na kisha kuchukua mateka, hayakuchagua mtu. Yaliua na kuwateka Wayahudi, Waarabu, Wapalestina, Wazungu, Wahindi na jamii nyingine zote, alimradi ulikuwa nchini Israel, na kwamba yaliweza kukufikia.
Tofauti na nchi nyingine zote ambazo zilifuatilia hali za wananchi wao na kutoa taarifa rasmi kwa wananchi wao, Serikali ya Tanzania haikufanya hivyo. Habari za Watanzania waliotekwa, zilisikika juu juu tu! Na wala hakukuonekana kuwepo uzito mkubwa ambao Serikali iliweka kwenye tukio hilo.
Magaidi ya Hamas, ni sehemu ya utawala wa Palestina. Na Palestina ina ubalozi wake nchini Tanzania. Na hiyo ni kutokana na ukaribu uliokuwepo kati ya Yasar Arafat (RIP) na Mwalimu Nyerere (RIP). Ifahamike kuwa Yasar Arafat, aliyekuwa rafiki mkubwa wa Mwalimu, alikuja kugeuka kuwa adui wa Hamas kwa sababu Yasar Arafat alikaribisha mazungumzo kati ya Palestine na Israel, jambo ambalo makundi haya ya kigaidi ya Hamas na Hizbollah, hayakutaka. Baadaye Yasar Arafat, kwa uchunguzi uliofanyika iligundulika kuwa aliuawa kwa njia ya sumu.
Kwa hiyo kiuhalisia, Tanzania haijawahi kuwa karibu kwa namna yoypte na kundi la kigaidi la Hamas.
Maswali ya kujiuliza, ni kwa nini Serikali ya Tanzania haikutoa uzito mkubwa kwa maisha ya Watanzania waliochukuliwa mateka na Hamas? Kwa nini Serikali ya Tanzania, haikutoa amri kwa balozi wa Palestina nchini kuwa Watanzania waachiwe au la ubalozi wao nchini ufungwe mara moja? Kuna haja gani ya kuwa na mahusiano ya kibalozi na watu wanaoteka na kuua watu wenu?
Yawezekana Setikali ya Tanzania haikufanya chochote kwa sababu haijali uhai wa Watanzania? Au ni kwa sababu kama ni kutekwa au kupotezwa watu moja kwa moja, mambo hayo yamekuwa yanafanyika nchini bila ya Serikali kuchukua hatua yoyote? Hivyo Serikali iliona ni jambo dogo, kwa sababu mambo hayo yamekuwa yakifanyika hata hapa nchini?
Unavyoandika tu, kila.mwenye akili anajua kuwa wewe ni mtupu kichwani, ndiyo maana huna uwezo wa kupinga chochote kwa hoja.Uharo mtupu ufahamu chochote kuhusu kuhusu mashariki ya kati labda wadanganye mapunguani wenzako,
Hahaha sasa wewe una hoja zaidi ya kuleta propoaganda za Israel humu unajifanya unajua wakati hujui chochote.Unavyoandika tu, kila.mwenye akili anajua kuwa wewe ni mtupu kichwani, ndiyo maana huna uwezo wa kupinga chochote kwa hoja.
Mtu mtupu kama wewe ni wa kuhurumiwa au kupuuzwa. Huna madhara wala huna faida. Bakia tu hapo hapo.
Nimeeleza wazi kuwa kutokana na matukio mbalimbali, tena yanayosababisha maafa kwa kila upande, hakuna kuaminiana kati ya Israel na Palestina.Nchi ngapi duniani umewahi kuona senyenge inawekwa kutenganisha raia wanaoishi kwa umoja?.
Huo ni ukaburu tu alioukataa Mwalimu Nyerere, uliokataliwa dunia nzima.
Wayahudi kwa sasa hawana tena ile sympathy ya dunia nzima, kuna mitandao kama Instagram ipo dunia nzima na ina vyanzo vingi vya elimu.
Hakuna nafasi kwa status quo ya siku za nyuma kuendelea kuwa mtetezi kwa unyama wanaowafanyia wasio na hatia pale Gaza na Israel kwa ujumla.
Ni watu makatili sana lakini unyama una mwisho siku zote.
Mkuu kumuelewesha kiumbe kama huyu ili akuelewe ni sawa na kuhamisha bahari kuipeleka DodomaNimeeleza wazi kuwa kutokana na matukio mbalimbali, tena yanayosababisha maafa kwa kila upande, hakuna kuaminiana kati ya Israel na Palestina.
Hata hapa Tanzania, miaka ya nyuma huko haikuwa kawaida kuona nyumba zikiwa na grills madirishani, mageti milangoni, au fences za nyumba.
Lakini kutokana na matukio ya ujambazi na wizi na kukosa kuaminiana, ndiyo maana siku kila mtu akijenga nyumba lazima aweke grills madirishani na fence kuzunguka nyumba yake.
Siku za nyuma hakukuwa na fence kati ya Marekani na Mexico, lakini kutokana na Wamexico kuingia US kwa njia za panya na kushamiri kwa biashara haramu ya madawa ya kulevya, US wamejenga fence kuwadhibiti Wamexico. Haya mambo hufanywa kutokana na hali zinazolazimisha watu kufikiria kufanya tofauti na awali.
Wameuliwa wakristo, tena weusi,tena wakawaida, na walioua ni waarab, ukitegemea nchi yetu inaongozwa na watu ambao kwao Waarab ni kama mabinamu wa mtume wao Mohamed, hawawezi, kufsnya kitu,Kwa nchi zilizostaarabika zinazoongozwa na Setikali zilizostaarabika, hakuna kilicho muhimu kama uhai wa wananchi wao.