Hamas Wameteka na Kuua Watanzania, Serikali Kimya

Hamas Wameteka na Kuua Watanzania, Serikali Kimya

Samia anaona kila Mwislam ni ndugu mwema, anasahau kuwa wengine ni magaidi
Na hata Nyerere aliona kila Muislamu ni ndugu mwema, hivyo Samia hakukukosea kwani uongozi ni kupokezana kijiti. Au ni ule usemi wa Kiswahili usemao " watende wao wakitenda wenziwao huwa mwao"? Kwa Nyerere ilikuwa sawa, ila kwa Samia ni kosa. Upumbavu wa kiwango cha shahada ya kwanza.
 
Nyerere aliwaunga mkono palestina, kaja kushangaa baadaye wanapigana upande wa Idd amini dada dhidi yetu. Miarabu haiaminiki
 
Hamna kitu nacho chukia kama tabia ya ws tanzania kuingiza udini katika kila jambo badala ya kulijadili kiundani zaidi.
Na ndiyo maana umaskini na ufukara hautakuja kuisha. Kuna watu wanajifanya wanamjua Mungu kuliko wengine. Sasa upande wa siasa ndiyo limekuwa dodoki la kuwasugulia.
 
Tuko
Tofauti na nchi nyingine zote ambazo zilifuatilia hali za wananchi wao na kutoa taarifa rasmi kwa wananchi wao, Serikali ya Tanzania haikufanya hivyo. Habari za Watanzania waliotekwa, zilisikika juu juu tu! Na wala hakukuonekana kuwepo uzito mkubwa ambao Serikali iliweka kwenye tukio hilo.
Tuko bize na mswaada sheria ya uchaguzi namna ya kushinda kirahisi tuache kwanza
 
Itawafanya nini hatuna uwezo hata wa kujikuna mbele yao

Kingine serikali ya Tanzania imekuwa hivyo hata kwa mataifa mengine huwa hawatilii uzito kwa raia wao huwa wanaishia kuwasingizia kuwa wameuwawa kwa kubeba ngada
As long as umezaliwa Africa kifo ni 50/50
 
Kwa hali ya sasa tunahitaji waziri wa mambo ya nje mwanajeshi, anaeweza kutumia intelijinsia ya kijeshi kuokoa watanzania, tunao watanzania wako indonesia thailand philippene na kwingineko wakitafuta riziki na balance kidogo kutuma nyumbani, napendekeza general mabeyo awe waziri wa mambo ya nje.
 
Kwa nchi zilizostaarabika zinazoongozwa na Setikali zilizostaarabika, hakuna kilicho muhimu kama uhai wa wananchi wao.

Magaidi ya Hamas, yalipoingia Israel na kufanya mauaji makubwa na kisha kuchukua mateka, hayakuchagua mtu. Yaliua na kuwateka Wayahudi, Waarabu, Wapalestina, Wazungu, Wahindi na jamii nyingine zote, alimradi ulikuwa nchini Israel, na kwamba yaliweza kukufikia.

Tofauti na nchi nyingine zote ambazo zilifuatilia hali za wananchi wao na kutoa taarifa rasmi kwa wananchi wao, Serikali ya Tanzania haikufanya hivyo. Habari za Watanzania waliotekwa, zilisikika juu juu tu! Na wala hakukuonekana kuwepo uzito mkubwa ambao Serikali iliweka kwenye tukio hilo.

Magaidi ya Hamas, ni sehemu ya utawala wa Palestina. Na Palestina ina ubalozi wake nchini Tanzania. Na hiyo ni kutokana na ukaribu uliokuwepo kati ya Yasar Arafat (RIP) na Mwalimu Nyerere (RIP). Ifahamike kuwa Yasar Arafat, aliyekuwa rafiki mkubwa wa Mwalimu, alikuja kugeuka kuwa adui wa Hamas kwa sababu Yasar Arafat alikaribisha mazungumzo kati ya Palestine na Israel, jambo ambalo makundi haya ya kigaidi ya Hamas na Hizbollah, hayakutaka. Baadaye Yasar Arafat, kwa uchunguzi uliofanyika iligundulika kuwa aliuawa kwa njia ya sumu.

Kwa hiyo kiuhalisia, Tanzania haijawahi kuwa karibu kwa namna yoypte na kundi la kigaidi la Hamas.

Maswali ya kujiuliza, ni kwa nini Serikali ya Tanzania haikutoa uzito mkubwa kwa maisha ya Watanzania waliochukuliwa mateka na Hamas? Kwa nini Serikali ya Tanzania, haikutoa amri kwa balozi wa Palestina nchini kuwa Watanzania waachiwe au la ubalozi wao nchini ufungwe mara moja? Kuna haja gani ya kuwa na mahusiano ya kibalozi na watu wanaoteka na kuua watu wenu?

Yawezekana Setikali ya Tanzania haikufanya chochote kwa sababu haijali uhai wa Watanzania? Au ni kwa sababu kama ni kutekwa au kupotezwa watu moja kwa moja, mambo hayo yamekuwa yanafanyika nchini bila ya Serikali kuchukua hatua yoyote? Hivyo Serikali iliona ni jambo dogo, kwa sababu mambo hayo yamekuwa yakifanyika hata hapa nchini?
Hata siku moja Hamas hawajaitwa magaidi na Umoja wa Mataifa. Ni Marekani na nchi fulani za Ulaya ndiyo ziliamua kuwa Hamas ni magaidi.

ANC walibatizwa ugaidi na Marekani, na Viongozi wake wote pamoja na Mandela walikuwa registered kama Magaidi. Uongo mtupu.

Israel wameua waPalestina tangu mwaka 1948 hawajawahi kuitwa magaidi na nyie mnakubali tu. Waingereza baada ya kuondoka Palestina waliwaachia nchi Wayahudi na kuwafukuza wengine. Nyie mnaotetea Israeli kwa udini wenu na kutokujua historia mtahukumiwa na hizo dini zenu na mapadre wenu.
Think critically,

Hao wazungu wanaoishi Israeli wote ni wakimizi kutoka Ulaya, zaidi Poland na Germany, wengine kutoka South America. Ukiwauliza kaburi la babu yako lipo wapi wanasema Poland au Argentina; wenyeji wamepokwa nchi yao na nyumba zao. Uonevu sana
 
Kwa hali ya sasa tunahitaji waziri wa mambo ya nje mwanajeshi, anaeweza kutumia intelijinsia ya kijeshi kuokoa watanzania, tunao watanzania wako indonesia thailand philippene na kwingineko wakitafuta riziki na balance kidogo kutuma nyumbani, napendekeza general mabeyo awe waziri wa mambo ya nje.
Kwamba ndio angewaokoa?
 
Sisi kama watanzania tunapaswa kuwa na msimamo imara dhidi ya magaidi bila kuogopa nchi yeyote ile kwamba tutakosana nayo kwa kupinga ugaidi wa hamas
Mbona hatukulaani kipindi kile Muamar Ghadaf anavamiwa na magaidi ya kimarekani na NATO!? Au ilikuwa sahihi?
 
Ni ajabu kwamba anayepigania uhuru wa nchi yake na haki ya wananchi wake anaitwa gaidi!!!
Nchi za magharibi zimefaulu sana kuwahadaa watu kwamba maadui wao ni magaidi,na ww ni mmoja wao.
Sasa mtanzania tena kijana aliyeenda kusoma anauliwa kwa kosa gani we maamuma. Je Mtanzania aliwazuia kupogania haki na uhuru wa nchi yao? Je huo uhuru anaupigania na watanzania? Pumbavu kabisa wewe na living lenu la kimatako. Wameua vijana wetu we unatetea na kuleta udini kisa mwarabu anayenuka mdomo eti anampigania allah mungu mlemavu wa mguu mmoja ndio amemuua.
FB_IMG_1699790320466.jpg
 
We ushawahi ona mwanamke anayekubali kuolewa tena mke wa nne mwenye akili? Mke wa nne wa mzee Hafidh hana akili hata moja amebaki kuturembulia majicho tu. Hataweza wala serikali haitatoa tamko wala kumgusa Balozi wa Palestina.

Yale maandamano ya kuwaunga mkono HAMAS yafanyike hata kesho ndio sisi wenye uchungu wa kuuliwa kwa mtanzania mwenzetu tutakapo wala vijambio vyao hao wavaa kobazi na wanuka midomo warudi kwao wanachechemea. Inaumiza sana kwa kweli.
FB_IMG_1699797146787.jpg
 
Mnaoleta story za udini nani kawaambia hamas wanapigania dini? Hivi vita havina uhusiano wowote na dini, sie tushupalie yanayo tuhusu kijana wetu aje tuzike hata watuletee kiganja cha mkono tu tutazika.
 
ACT Wazalendo ndio Chama pekee nchini kinachofuatilia kwa Karibu yanayoendelea Gaza

Lakini bado hatujapata tamko lao kuhusu kuuawa kwa Mateka Clemence huko Gaza

Siyo Kawaida ya ACT Wazalendo kukaa kimya kwa mambo kama haya!

Nawatakia Sabato njema
 
1700295660904.png
 
Back
Top Bottom