Hamas waliposikia Kamala Harris kashindwa Uraisi walisikitika, Marekani ya chama cha democrats inapendwa sana na magaidi

Hamas waliposikia Kamala Harris kashindwa Uraisi walisikitika, Marekani ya chama cha democrats inapendwa sana na magaidi

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
1,910
Reaction score
5,455
Iran, Hamas, Hezbollah, Isis, Houthi, huwa wanafurahi sana kukiwa na rais wa Marekani aliyetokea chama cha Democrats kama Biden na walitegemea Kamala Harris ashinde.

Waliposikia ni rais wa Republican kashinda hawakufurahi kabisa.

Huyu ni moja wa mateka walioachiwa akielezea hali ilivyokuwa baada ya Kamala Harris kushindwa.

 
20251014_221648.jpg
 
Hamas walikuwa wanasubiri rais anaewasapoti kufanya tukio la 7 October 2023, Watu zaidi ya 1200 waliuawa wakiwemo watanzania wawili.

Endeleeni kupumzika kwa amani Joshua Mollel na Clemence Mtenga

  • Biden na Kamala Harris walikataa kabisa kuhudhuria hotuba ya Netanyahu,
  • Biden na Kamala walimzuia Netanyahu kununua silaha
  • Biden na Kamala walikuwa wanawatia moyo wanaandamaji wa Hamas
  • Biden na kamala waliwapa Iran Trilioni 14 zilizosaidia Hamas
  • Biden na Kamala walikuwa wanapendwa sana na Hamas
Trump kasaidia kuimaliza vita fasta chini ya mwaka moja, Iran hawana hamu na huyu mzee.
 
Back
Top Bottom