Supu ya kokoto
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,609
- 8,310
Watu hawawezi kuwaza sawa.....so usibebe zigo la sonona moyoni.Hebu acheni akili zenu hizo. Chupi za kijeshi ndiyo huwa zipoje hizo?
Ile chupi ni ya jeshi la nchi gani? Hata mavati ya Jeshi la Israel mnayajua kweli?
Clemence na yeye aliuawa baada ya kukutwa kavaa chupi ya jeshi? Raia wengine wa nchi nyingine waliouawa na walioachiwa na wao walikuwa mamevaa mavazi ya kijeshi? Mnatengeneza story zisizo na kichwa wala miguu ili ku justify mauaji wa kijana Mtanzania mwenzetu ili muwasafishi Magaidi wa HAMAS kisa mna share dini
Ukisikia mtu anasema, kifo cha mtanzania mwenzetu, ujuwe huyo mnafiki muogope kama ukoma...Pumbav mbwa mmoja wewe, unashadidia VIFO vya binadamu wenzetu???
Ukiwa mwanajeshi au mgambo umekutwa katika kambi ya wanajeshi na wewe bukta ya kijeshi na bullet proof utauliwa tu, kwa maana hata yeye angepata fursa angeuwa lakini kakutwa mapema sana bado kalala ila askari wa 5 kwenye shift waliuliwa. Israel katika mpaka wa Ghaza sehemu hatari wanaweka watu kama mgambo kuwa watu wa kwanza kuumia, wewe hata kama chuo utakubali unapelekwa mfano pale kwenye mpaka wa Rwanda na Congo?Na Justine Mtenga wa Rombo naye alikuwa mpiganaji wa IDF, dawa ya mafirauni wafuga majini ni Israel waendelee na kazi huko Gaza mpaka wasalimu amri. Mnatetea mauaji ya mtanzania mwenzenu!!! Mmelaaniwa wasaliti kutetea manwana zenu. Hata kama alikuwa askari hakuwa na silaha sheria kuhusu prisoners of war zipo wazi, walimuua kwa kuwa walimuona Mweusi hana thamani kwao kumteka.
Ni wapi umeona nimeandika chupi?Hebu acheni akili zenu hizo. Chupi za kijeshi ndiyo huwa zipoje hizo?
Ile chupi ni ya jeshi la nchi gani? Hata mavati ya Jeshi la Israel mnayajua kweli?
Clemence na yeye aliuawa baada ya kukutwa kavaa chupi ya jeshi? Raia wengine wa nchi nyingine waliouawa na walioachiwa na wao walikuwa mamevaa mavazi ya kijeshi? Mnatengeneza story zisizo na kichwa wala miguu ili ku justify mauaji wa kijana Mtanzania mwenzetu ili muwasafishi Magaidi wa HAMAS kisa mna share dini
Ile clip ilionyesha kavaa hicho kifaa!?
Kuna dalili ya serikali fulani kufunguliwa masitaka
Ndio masomo ya kilimo hayo?kama israel tunawa appreciate kwa mambo ya kimedani tukipeleka vijana wetu shule huko nje, ukute taifa hilo linaingia vitani, hao wanafunzi wa medani itabidi wainginzwe kwenye mafunzo ya kivitendo moja kwa moja kufa na kupona. Mafunzo kwa vitendo kwenye eneo halisi. Hujui kuwa angepona angefuzu mafunzo ya ukomando kwa faida ya nchi yako?
Sio kusomea kilimo na alikuwa shambani?Wanazunguka ila kwa sisi wasafiri nilipopata taarifa siku ya kwanza tu nilikua na majibu sahihi ambayo mnaendelea kupata na mtajua ukweli huko mbele maana Serikali ya Israel imeiomba Serikali ya Tanzania kutumia ushawishi wa Nchi marafiki na Palestine kurudisha mwili pana kitu mtaendelea kuelewa hapo...
Watu wanashindwa kutuliza Akili na kutafakari Kwa kina,Ile video jamaa wanamuuliza maswali Kwanza,Kwa Nini wasinge muua bila kutuliza na huku akiwa kavalia boksa ya jeshi Kuna mazingira alikuwa nayo yaliyosababisha auwawe.Kuna sababu ya kumua hawawez kumuua bila sababu
mlitaka muambiwe wanakwenda kujifunza medani? Eleweni hivyohivyo mlivyoambiwaNdio masomo ya kilimo hayo?
Mzee kaja kuongeza maswali?Kwa kweli kwanza lazima niwaonee huruma wana familia kwa kupoteza mtoto lakini jana kuna vitu viwili kaongea mzee vinatia mashaka kidogo. Kwanza askari wa tano waliuwawa katika sehemu waliyokuwa wanaishi, sasa kweli wanajeshi wanaishi na raia wa kawaida wanafunzi? na kwanini alichukuliwa yeye tu kwenye hiyo kambo hakukuwa na wanafunzi wengine? na ni chuo gani hicho ili tu google tujuwe location. Alijificha safe room lakini walivunja na kumchukuwa na alikuwa amevaa bullet proof, alipata wapi hii kitu raia wa kawaida? nadhani kuna shida sehemu. Huwa tunasikia kaende chuo lakini sijasikia chuo hicho kikitajwa.
Sasa Hamas wako sahihi au tuendelee kuwalaani?mlitaka muambiwe wanakwenda kujifunza medani? Eleweni hivyohivyo mlivyoambiwa
Accumen Mo, post: 48894118, member: 666454yule ni raia wa nchi yako, unatakiwa uone ufahari kajiunga na jeshi la israel. Je angejiunga upande wa hamas ungejisikiaje?Ukutwe na bulletproof jumlisha ile boxer ya jeshi...Dunia itajua ukweli tu hamna janja janja hapa .
kama alienda kwenye mafunzo ya kijeshi kuna ubaya gani? Mbona fresh tu tukiwa na makomando waliopata mafunzo israel.Asituzingue huyo alienda Kwa Mafunzo ya kijeshi,Hammas sio wapumbavu kiasi hicho.
Unashangaa nini?Mmmh, haya
NI mjinga tu ataamini hiyo stori watu walitembea miaka 40 sehemu ambayo ni kutoka dar mpaka tabora.Wayahudi wana laana kali sana, kuranda jangwani miaka 40 si mchezo
ungejisikiaje kama angefia upande wa hamas akipambana na idf?Ukisikia mtu anasema, kifo cha mtanzania mwenzetu, ujuwe huyo mnafiki muogope kama ukoma...
tuendelee kuwalaani kwa kitendo cha kuishambulia israel oktoba 7Sasa Hamas wako sahihi au tuendelee kuwalaani?