Chrost Member Joined Aug 17, 2022 Posts 45 Reaction score 27 Dec 31, 2023 #241 Akili ndogo sana inatumika hapa Israel ni iko na Vita ,wanajeshi wako kila mahali kwa maana ya kuimarisha ulinzi,maeneo yaliyovamiwa yapo karibu na mpaka wa Gaza hivyo uwepo wa wanajeshi haushangazi,punguzeni upofu wa udini.
Akili ndogo sana inatumika hapa Israel ni iko na Vita ,wanajeshi wako kila mahali kwa maana ya kuimarisha ulinzi,maeneo yaliyovamiwa yapo karibu na mpaka wa Gaza hivyo uwepo wa wanajeshi haushangazi,punguzeni upofu wa udini.
Pdidy Platinum Member Joined Nov 22, 2007 Posts 61,678 Reaction score 37,862 Dec 31, 2023 #242 zilepesaa alizokuwa akitumiwa alihisi mwanae n mwanafunzi eeh...kizuri garamaa
Eyce JF-Expert Member Joined Mar 16, 2016 Posts 8,328 Reaction score 28,568 Dec 31, 2023 #243 biabia said: It's obvious mzee yupo distraughted na ana uchungu. Kuna details lazima awe amezichanganya. Akiwa ametulia vizuri atajieleza vizuri. Click to expand... Lakini sidhani kama ilikuwa ni sawa kutoa statement kabla ya serikali haijatoa clarification ya kilichotokea
biabia said: It's obvious mzee yupo distraughted na ana uchungu. Kuna details lazima awe amezichanganya. Akiwa ametulia vizuri atajieleza vizuri. Click to expand... Lakini sidhani kama ilikuwa ni sawa kutoa statement kabla ya serikali haijatoa clarification ya kilichotokea
Endasak Masqaroda JF-Expert Member Joined Jun 16, 2013 Posts 1,729 Reaction score 3,951 Dec 31, 2023 #244 Eyce said: Lakini sidhani kama ilikuwa ni sawa kutoa statement kabla ya serikali haijatoa clarification ya kilichotokea Click to expand... Serikali haitatoa statement. Joshua hakwenda kujifunza kilimo. Mkae vizuri muwaulize hao vijana, kuna lililowapeleka huko kwa Wazayuni.
Eyce said: Lakini sidhani kama ilikuwa ni sawa kutoa statement kabla ya serikali haijatoa clarification ya kilichotokea Click to expand... Serikali haitatoa statement. Joshua hakwenda kujifunza kilimo. Mkae vizuri muwaulize hao vijana, kuna lililowapeleka huko kwa Wazayuni.
M Mbuli yaza JF-Expert Member Joined May 30, 2023 Posts 797 Reaction score 762 Dec 31, 2023 #245 LOTH HEMA said: we ni dini gani unaelaani israel? Click to expand... Wasio mjua MUNGU hawajui maagizo yake.
LOTH HEMA said: we ni dini gani unaelaani israel? Click to expand... Wasio mjua MUNGU hawajui maagizo yake.
J JokaKuu Platinum Member Joined Jul 31, 2006 Posts 37,662 Reaction score 70,990 Dec 31, 2023 #246 Malaria 2 said: Kama kafa kijeshi kwanini asizikwe tu huko huko? Na Isreal Click to expand... ..familia yake inahitaji mwili wake, ndio maana naamini ni sahihi kuzikwa Tanzania. ..mimi naifikiria familia zaidi na machungu wanayopitia.
Malaria 2 said: Kama kafa kijeshi kwanini asizikwe tu huko huko? Na Isreal Click to expand... ..familia yake inahitaji mwili wake, ndio maana naamini ni sahihi kuzikwa Tanzania. ..mimi naifikiria familia zaidi na machungu wanayopitia.
Mlolongo JF-Expert Member Joined Jul 4, 2019 Posts 3,654 Reaction score 6,545 Oct 2, 2024 #247 Dogo alirudishwa?