Hamas wajibu, Israel miji yapigwa shule na vyuo vyafungwa

Jerusalem no mji mkuu wa Israel tangu enzi za wafalme wa Israel someni maandiko muelimike na hakuna nchi inayitwa Palestine ndan ya israel. Pia alama za taifa zinazotumika Sasa na Israel ndizo zilizotumiwa na mfalme Daudi na wengine wengine mf. Alama ya nyota,vinara vya taa na pesa Aina ya. shekel hata ikulu ilikuwa Jerusalem na sio Telaviv
Mkuu huu mzozo hauhitaji Bible verses...
 
Hezbollah waliionya Israel ikitaka kutaabika imuue mkuu wa kundi hilo. Ni mara kadhaa makamanda wa IDF wanataka kumuua Hassan Nasrallah tokea miaka ya 1990s hadi leo wanasita. Huyu aliyekufa kundi lake dogo na halina nguvu sana
hivi makamanda wa hezbollah,hawajawahi uliwa na israel?nauliza tu...
 
Nafikiri huwa anajificha,kuna wakati aliwindwa sana akawa analala kwenye Miti kama Bundi.
 
hivi makamanda wa hezbollah,hawajawahi uliwa na israel?nauliza tu...
Waliwahi kuuwawa kama ambavyo makamanda wa Israel walivyowahi kuuwawa
Screenshot_2019-11-14-20-56-37-35.jpg
 
Tokea nilovyosoma documentary za "the six days war" nikagundua waarabu wanapoteza muda na nguvu zao tu mbele ya vijana wa Abraham they are actually blessed purposely.
 
Back
Top Bottom