Hamas wajibu, Israel miji yapigwa shule na vyuo vyafungwa

Here are some of the terrorists eliminated by Israeli Air Force.

aView attachment 1262452
Maishu kama haya huwa yanafanana kiasili... yaani Chifu akifa basi hafi peke yake.. anaondoka na maisha ya Wengi...

Sema hao majamaa yamekufa kizembe sana.... hayakujifunza kwa Hamas... Unarusha kombora alafu unabaki pale pale unasubiri nini? zaidi ya kifo kutoka kwa IDF wanalenga pale pale uliporushia kombora lako...

Islamic wazembe group..
 
Kwani umoja wa mataifa ndo wananchi wa Israel,?
Halafu hujui kuwa Umoja wa Mataifa ni taasisi ya Marekani ili kuitawala Dunia
Suala la Kua Umoja Wamataifa Ni Taasisi Yanani Hili Sitaki Niliongelee

Ila nataka unambie lini wapi mda gani wananchi ama taasisi ya Israel Ili utambua Mji Unaosema wewe kama ndio Mji MKUU Wao japo nchi sio Yao....
 
That why wakaitwa wanamuqawama kwa sababu hawakufa
Wewe huoni Israel anawauwa miaka na miaka lkn hawaishi
Sasa walisave vipi wakati waliangamia kwa gharika? Japo walikuwa mafundi wa kuogelea lakini lango la safina Nuhu hakujua jinsi ya kulifungua kwani PIN za kufungulia alikuwa nazo mwenyewe Muumba, wakati huo akitoa kipigo kikari kwa wafwasi wa shetwain
 
Hezbollah waliionya Israel ikitaka kutaabika imuue mkuu wa kundi hilo. Ni mara kadhaa makamanda wa IDF wanataka kumuua Hassan Nasrallah tokea miaka ya 1990s hadi leo wanasita. Huyu aliyekufa kundi lake dogo na halina nguvu sana
Hezbollah huyo ni mtoto wa Iran that why huwa wanampa Israel nako za kueleweka pia Hezbollah intelligence yao ipo vizuri saana
 
Gaidi mwingine auwawa akijaribu kurusha kombora Israel toka Gaza
Screenshot_2019-11-14-06-40-41.png
 
Baada ya kipondo kuendelea toka majeshi ya Israel na makamanda wao kuuwawa Islamic jihad watafuta suluhu kusitisha mapigano!
Screenshot_2019-11-14-07-59-07.png
 

Attachments

  • Screenshot_2019-11-14-07-59-07.png
    Screenshot_2019-11-14-07-59-07.png
    87.6 KB · Views: 1
Ila hao watu wa Gaza inaonesha ni wengi maana wanauliwa ila hawakomi
 
Baada ya kipondo kuendelea toka majeshi ya Israel na makamanda wao kuuwawa Islamic jihad watafuta suluhu kusitisha mapigano! View attachment 1262706
Haaretz wamesema kuna uchaguzi mkuu ambao unatarajiwa kufanyika na ni uchaguzi huru baada ya miaka 13 hivo makundi yote ya Kipalestina yameamua hayataleta fujo kutokwamisha uchaguzi. Thats why hilo kundi lilitumia maroketi dhaifu kujibu mapigo. Na ukumbuke hadi sasa kuna kundi lina ceasefire
 
Jerusalem no mji mkuu wa Israel tangu enzi za wafalme wa Israel someni maandiko muelimike na hakuna nchi inayitwa Palestine ndan ya israel. Pia alama za taifa zinazotumika Sasa na Israel ndizo zilizotumiwa na mfalme Daudi na wengine wengine mf. Alama ya nyota,vinara vya taa na pesa Aina ya. shekel hata ikulu ilikuwa Jerusalem na sio Telaviv
 
Jerusalem no mji mkuu wa Israel tangu enzi za wafalme wa Israel someni maandiko muelimike na hakuna nchi inayitwa Palestine ndan ya israel. Pia alama za taifa zinazotumika Sasa na Israel ndizo zilizotumiwa na mfalme Daudi na wengine wengine mf. Alama ya nyota,vinara vya taa na pesa Aina ya. shekel hata ikulu ilikuwa Jerusalem na sio Telaviv
Ukisoma ww hayo maandiko inatosha nchi hii iloundwa mwaka 1940s
 
Back
Top Bottom