Wanamuqawama maana yake nini?
Mjii MKUU Huo Unautambua Wewe Na US Ila Sio UMOJA WA MATAIFAMasahihisho
Mji mkuu wa Israel ni Jerusalem wala siyo tel Aviv
Unless wewe ni Mmarekani au Myahudi ndo unaweza kusema hivo. Tofauti na hapo hauko sahihiMasahihisho
Mji mkuu wa Israel ni Jerusalem wala siyo tel Aviv
Hezbollah waliionya Israel ikitaka kutaabika imuue mkuu wa kundi hilo. Ni mara kadhaa makamanda wa IDF wanataka kumuua Hassan Nasrallah tokea miaka ya 1990s hadi leo wanasita. Huyu aliyekufa kundi lake dogo na halina nguvu sanaHamas ni wachumba tu hapo wangekuwa wamechokozwa Hezbollah kornet zingekuwa zimeshavunja deraya kadhaa za idf
wa Palestina wajibu mapigo baada ya Israel kumuua shahidi kamanda wa Jihad Islami
Nov 12, 2019 08:07 UTC
Wanamuqawama wa Palestina wametoa jibu kali baada ya jeshi katili la utawala wa Kizayuni wa Israel kumuua shahidi kamanda wa ngazi za juu wa Harakati ya Jihadul-Islam ya Palestina katika Ukanda wa Gaza.
Katika taarifa, tawi la kijeshi la harakati hiyo ya muqawama imesema Baha Abu al-Ata, kamanda wa Kikosi cha al-Quds aliyekuwa na umri wa miaka 42, ameuawa katika shambulizi la anga la jeshi la Israel dhidi ya makazi yake katika Ukanda wa Gaza mapema leo Jumanne.
Taarifa hiyo imesema mke wa al-Ata ameuawa shahidi pia katika shambulizi hilo la kinyama dhidi ya nyumba ya kamanda huyo katika eneo la Shejaiya, huku watu watatu wakijeruhiwa.
Muda mfupi baada ya mauaji hayo, wanamuqawama wa Palestina wameanzisha mashambulizi ya ulipizaji kisasa kwa kuvurumisha maroketi dhidi ya Israel, ambayo yamelenga miji ya Tel Aviv, Sderot na Ashdod.
Utawala haramu wa Israel umetiwa kiwewe na mashambulizi hayo ya ulipizaji kisasi, na umewataka wanafunzi na wanachuo wasiripoti shuleni na vyuoni katika mji mkuu Tel Aviv na miji mingine mikubwa, sawa na wafanyakazi 'wasio wa dharura'.
Aidha utawala huo batili umetoa tahadhari ya mijumuiko na mikusanyiko katika maeneo ya umma.
Wakati huohuo, Harakati ya Muqawama ya Palestina (Hamas) imesema utawala wa Kizayuni wa Israel utabeba dhima ya matokeo mabaya ya kuwasha moto wasioweza kuuzima, huku ikiapa kulipiza kisasa cha damu ya al-Ata.
Tags
ISRAEL GaZAView attachment 1261718View attachment 1261719
Umesema Hamas? au umekunywa kidogo? Maana Hamas wamesema wanafikilia kuwaunga mkono Islamic Jihad endapo mashambulizi hayatositishwa... Kuna uwezekano kuwa Hamas wametoa Ushirikiano kwa Israel kisiri maana huyo Gaidi alikuwa anawasumbua pia Hamas na inawezekana baada ya Bomu la kutegwa linalosadikiwa lilitegwa na kundi hilo na kuwaua Makamanda wa Hamas kisha Islamic Jihad wakawasingizia Israel hamas hawakukubali wakachunguza Wakapata Majibu kuwa ni Islamic Jihad na kiongozi wao ndio huyo Dogo aliyedanjishwa na Israel. so kuna bifu kali sana kati ya Islamic Jihad dhidi ya Hamaswa Palestina wajibu mapigo baada ya Israel kumuua shahidi kamanda wa Jihad Islami
Nov 12, 2019 08:07 UTC
Wanamuqawama wa Palestina wametoa jibu kali baada ya jeshi katili la utawala wa Kizayuni wa Israel kumuua shahidi kamanda wa ngazi za juu wa Harakati ya Jihadul-Islam ya Palestina katika Ukanda wa Gaza.
Katika taarifa, tawi la kijeshi la harakati hiyo ya muqawama imesema Baha Abu al-Ata, kamanda wa Kikosi cha al-Quds aliyekuwa na umri wa miaka 42, ameuawa katika shambulizi la anga la jeshi la Israel dhidi ya makazi yake katika Ukanda wa Gaza mapema leo Jumanne.
Taarifa hiyo imesema mke wa al-Ata ameuawa shahidi pia katika shambulizi hilo la kinyama dhidi ya nyumba ya kamanda huyo katika eneo la Shejaiya, huku watu watatu wakijeruhiwa.
Muda mfupi baada ya mauaji hayo, wanamuqawama wa Palestina wameanzisha mashambulizi ya ulipizaji kisasa kwa kuvurumisha maroketi dhidi ya Israel, ambayo yamelenga miji ya Tel Aviv, Sderot na Ashdod.
Utawala haramu wa Israel umetiwa kiwewe na mashambulizi hayo ya ulipizaji kisasi, na umewataka wanafunzi na wanachuo wasiripoti shuleni na vyuoni katika mji mkuu Tel Aviv na miji mingine mikubwa, sawa na wafanyakazi 'wasio wa dharura'.
Aidha utawala huo batili umetoa tahadhari ya mijumuiko na mikusanyiko katika maeneo ya umma.
Wakati huohuo, Harakati ya Muqawama ya Palestina (Hamas) imesema utawala wa Kizayuni wa Israel utabeba dhima ya matokeo mabaya ya kuwasha moto wasioweza kuuzima, huku ikiapa kulipiza kisasa cha damu ya al-Ata.
Tags
ISRAEL GaZAView attachment 1261718View attachment 1261719
Sasa walisave vipi wakati waliangamia kwa gharika? Japo walikuwa mafundi wa kuogelea lakini lango la safina Nuhu hakujua jinsi ya kulifungua kwani PIN za kufungulia alikuwa nazo mwenyewe Muumba, wakati huo akitoa kipigo kikari kwa wafwasi wa shetwainWanamuqawama ni wadau ambao walimgomea Nuhu kujenga safina ambao bado wanaishi mpaka sasa huko Palestinian