Hamas na Houth wakutana kuratibu mapigo yao dhidi ya Israel

Shida ipo hivi hakuna usawa juu ya hawa mapigano israel akishambuliwa na vikundi vya kiislamu dunia yote hailalamiki wala kuyapinga haya makundi ila israel ikianza kujilinda italaaniwa na dunia nzima na waislamu wote wataungana kulalamika huu ni unafiki wa hali ya juu
Waislamu wangeungana kweli vita vingemalizika katika siku 10 za mwanzo
 
Wewe ndo mjinga kwa kuwa hujui pale isreael yupo kibabe , huweiz kuwa upande wa anayekandamizwa .USA na ungereza wanajua ukweli na kama isralei angekaa kuwa pale kwa uhalali kila mmoja angekuwa upande wake .walokole kama ninyi ndo mnaona wayahudi pale walipo ni kwao
 
Waliomfadhili nao sasa wamechoka kumpa ulinzi.Akiachwa peke yake ataondoka tu.
 
Uliza hizo dini nyengine wanaogopa nini kuacha waislamu wajitawale na kuendesha dini yao bila wao kuwapangia wanachotaka kifanywe kwenye dini ambayo si yao. .
Kwa hiyo waachwe alshabab watawalea? Boko haram watawale? Isis watawale? Alqaeda watawale? Ili wachinje watu nyuma ya shingo? Wazuie wanawake kusoma shule kama wale wapumbavu wa Taliban? Mruhusiwe kufanya mnachotaka ili mfanye kama wale wapumbavu mashehe wa Arusha?
 
Shida ipo hivi hakuna usawa juu ya hawa mapigano israel akishambuliwa na vikundi vya kiislamu dunia yote hailalamiki wala kuyapinga haya makundi ila israel ikianza kujilinda italaaniwa na dunia nzima na waislamu wote wataungana kulalamika huu ni unafiki wa hali ya juu
Hadi waislamu wa huku Simanjiro wanasema eti Joshua akauwawa sababu alikuwa kafir
 
Uliza hizo dini nyengine wanaogopa nini kuacha waislamu wajitawale na kuendesha dini yao bila wao kuwapangia wanachotaka kifanywe kwenye dini ambayo si yao. .
Ukimkaribisha mwislam kwako anakulazimisha na wewe uwe muislam, ukibisha anakupiga!! Hatari sana hawa jamaa
 
Waislamu wangeungana kweli vita vingemalizika katika siku 10 za mwanzo
Ingewezekana,ila haiwezekani,kwa kuwa hata waislam wenyewe kwa wenyewe hawaaminiani,hawapendani,ndiyo maana wakishalitibua huko jangwani ni mbio kukimbilia USA,UK,FRANCE, au nchi nyingine ya makafiri.
 
Kwa hiyo waachwe alshabab watawalea? Boko haram watawale? Isis watawale? Alqaeda watawale? Ili wachinje watu nyuma ya shingo? Wazuie wanawake kusoma shule kama wale wapumbavu wa Taliban? Mruhusiwe kufanya mnachotaka ili mfanye kama wale wapumbavu mashehe wa Arusha?
Alshabaab na Boko Haram hawakuwepo,mpaka alipoingia madarakani mvuta unga Bush,ndo mambo yakawa hivyo,tofauti na hapo ulimwengu wa kiislam na dunia kwa ujumla ilikua na amani kasoro IRA kule Ireland na ETA kule Spain
 
They've been living peacefully with others in Palestine/Israel for so many centuries,until crusaders came..and then Zionists
Muslims have never lived with other religions peacefully.The history judges them so.They spread their religion by slaying people and forcing others to believe in allah.Muhammad found Jews and other tribes living in harmony in Madina and brought unrest by conquering and slaying people.Islam is chaotic all over the world.It commands you guys to slay the unbelievers.You do not respect other peoples'beliefs!
And that's what you show even in this forum.Insulting christians and wishing hell to the Jews
 
Ironically those who believe in cows and animals live harmoniously than those who invoke the name of Allah and Jehovah.
 
Back
Top Bottom