Hamas na Houth wakutana kuratibu mapigo yao dhidi ya Israel

Webabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,191
10,925
Kwa mara ya mwanzo wapiganaji wa Houth walio kusini ya Israel waktenganishwa na nchi ya Saudi Arabia wamekutana na wenzao,Hamas ambao wako karibu na katikati ya Israel upande wa magharibi wamefanya mktuano wa pamoja ili kuratibu mapigo dhidi ya adui yao.

Mkutano huo haukutajwa eneo ulipofanyika na iwapo kulikuwa na uwakilishi kutoka Hizbullah ambao wako kaskazini ya Israel na haikutajwa pia iwapo vikundi vya wapiganaji kutoka Iraq ambavyo ni magharibi ya Israel iwapo navyo vilipeleka wawakilishi wao.

Hapo juzi vikundi hivyo kutoka magharibi vilitoa taarifa ya kuupiga uwanja wa ndege wa kimataifa wa Ben Gurion ambao upo Tel aviv kwa kutumia droni.Taarifa hiyo haikuthibitishwa na Israel na pia vikundi hivyo kutoka Iraq havikutoa takwimu za madhara ya droni yao.
 
Kwa mara ya mwanzo wapiganaji wa Houth walio kusini ya Israel waktenganishwa na nchi ya Saudi Arabia wamekutana na wenzao,Hamas ambao wako karibu na katikati ya Israel upande wa mashariki wamefanya mktuano wa pamoja ili kuratibu mapigo dhidi ya adui yao.
Mkutano huo haukutajwa eneo ulipofanyika na iwapo kulikuwa na uwakilishi kutoka Hizbullah ambao wako kaskazini ya Israel na haikutajwa pia iwapo vikundi vya wapiganaji kutoka Iraq ambavyo ni magharibi ya Israel iwapo navyo vilipeleka wawakilishi wao.
Hapo juzi vikundi hivyo kutoka magharibi vilitoa taarifa ya kuupiga uwanja wa ndege wa kimataifa wa Ben Gurion ambao upo Tel aviv kwa kutumia droni.Taarifa hiyo haikuthibitishwa na Israel na pia vikundi hivyo kutoka Iraq havikutoa takwimu za madhara ya droni yao.
Why can't muslims coexist with other religions peacefully?
 
Uliza hizo dini nyengine wanaogopa nini kuacha waislamu wajitawale na kuendesha dini yao bila wao kuwapangia wanachotaka kifanywe kwenye dini ambayo si yao. .
 
Shida hua inakuja pale ambapo Israel ikishambuliwa mnafurahia na kuchekelea lakini Wayahudi walivyo kua na roho chafu wakijibu kwa ukali mnaona kafanya makosa, tumshukuru Mungu tunakula na kulala kwa amani vita vitazame tuu kwenye Tv lakini usiwahi kupata uzoefu wake
 
Houthi wwnyewe sasa wamejaza mirungi vinywani na kanzu zao
1000026903.jpg
 
Kwa mara ya mwanzo wapiganaji wa Houth walio kusini ya Israel waktenganishwa na nchi ya Saudi Arabia wamekutana na wenzao,Hamas ambao wako karibu na katikati ya Israel upande wa magharibi wamefanya mktuano wa pamoja ili kuratibu mapigo dhidi ya adui yao.
Mkutano huo haukutajwa eneo ulipofanyika na iwapo kulikuwa na uwakilishi kutoka Hizbullah ambao wako kaskazini ya Israel na haikutajwa pia iwapo vikundi vya wapiganaji kutoka Iraq ambavyo ni magharibi ya Israel iwapo navyo vilipeleka wawakilishi wao.
Hapo juzi vikundi hivyo kutoka magharibi vilitoa taarifa ya kuupiga uwanja wa ndege wa kimataifa wa Ben Gurion ambao upo Tel aviv kwa kutumia droni.Taarifa hiyo haikuthibitishwa na Israel na pia vikundi hivyo kutoka Iraq havikutoa takwimu za madhara ya droni yao.
Shida ipo hivi hakuna usawa juu ya hawa mapigano israel akishambuliwa na vikundi vya kiislamu dunia yote hailalamiki wala kuyapinga haya makundi ila israel ikianza kujilinda italaaniwa na dunia nzima na waislamu wote wataungana kulalamika huu ni unafiki wa hali ya juu
 
Uliza hizo dini nyengine wanaogopa nini kuacha waislamu wajitawale na kuendesha dini yao bila wao kuwapangia wanachotaka kifanywe kwenye dini ambayo si yao. .
Ndio maana mi nawakubali China aisee. Pale Uighur hakuna cha sheria za kiislam wala babu yake ni kichapo tu na ukizaa mtoto akifikiaha miaka 6 wanachomoka nae unakuja kurudishiwa akiwa na miaka 20.
 
Acha kuongea ujinga kwa vitu hata usivyo vifahamu.
 
Back
Top Bottom