Hamadi Rashidi bado hajaridhika anendeleza mapambano na CDM

Hamadi Rashidi bado hajaridhika anendeleza mapambano na CDM

Heko Afande Luten,
Kifupi tu nikuwa ingekuwa jambo labusara sana kama watanganyika mukadai Tanganyika yenu ambayo Mwalim aliipoteza kuliko kudai katiba mpya? Hili lina umuhimu sana kwa historia ya nchi yenu na kwa vile mulipigania uhuru wa nchi yenu Tanganyika sio Tanzania? 11 december 1961 sasa kuna faida gani yakudai katiba wakati hamuna nchi? Wzanzibar akina Hamad Rashid na wenzake wao wana nchi yao yenye Rais wao,katiba yao,Bendera yao,wimbo wataifa wao,mahkama zao,na mipaka ya nchi yao. Sasa kikulacho kiko nguoni mwenu, Mwenye akili timamu anajuwa hakuna mwendazimu hata moja Zanzibar anae ipenda ccm na kila siku Wzanzibar wanomba ifee foroho au mushukuwe wenyenu Wabara ss tumechoka na vitimbi vyao. Na huo Muungano unaishi Zanzibar kwa nguvu ya kijeshi tu lakini wazanzibar imekuwa kero.
Mimi hushangazwa na Chadema kusema watakwenda mahakamani kuishtaki Cuf ktk mabadiliko ya 10 ya katiba ya Zanzibar, Kwa nini musimshtaki Mh Kikwete? au kulishtaki Baraza la Uwakilishi kama muna ubavu? muna juwa kwa nini katiba ccm hawataki kubadilisha? nikuwa haki zote za Zanzibar zitarudi Zanzibar na ukoloni wa kutawaliwa Wzanzibar basi. Wzanzibar tunasubiri kwa hamu kuiona Tanganyika yenu munaifufua na kusimamia haki zenu za Tanganyika zisizo za Muungano, hii niaibu kukataa nchi yenu mulio ipigania uhuru na kupenda ubatizo wa Tanzania.
Tanganyika yetu mbona ipo? Hakuna sababu za kuidai. Kama mwungano hauwezekani kilichobaki ni kuwafukuza tu Wazanzibari warudi kwao.
Case closed.
 
KAFU NA CHAMA CHA MAJAMBAZI (CCM) WATAHANGAIKA SAAAANA MWAKA HUUUU MANAKE CHADEMA CHAMA CHA UMMA NA UKOMBOZI KINA VIFAAA HATARI AMBAVYO MBUNGE MMOJA WA CHADEMA NI SAWA NA WABUNGE WOTE WA KAFU, WAKATI KWA CCM NI SAWA NA 50. YAANI TUNDU LISSU EQUALS 50 CCM MPs
 
Ulichokisahau kingine ni mgogoro wa chini kwa chini ndani ya CHADEMA! siku si nyingi utasikia madiwani wa CDM wamefukuzwa au kujiuzulu... hapo sijawasema wabunge. Okaaay wacha tusubiri!

First u r avatar displays how u r level of arrogance u possess, that is u r brain image, & funny enough u r words are clearly self explanatory how
kihiyo u are, wala huwezi kukaa na intelligent peoples of CHADEMA, i hpoe unakula pig sana tu dispites u r a muslim, unabisha..? tangia uingie hapa kazi yako is to publicize & dirty talk for CDM, tunakuangalia tu, soma acha ujinga au nenda Iran unakoshabikia pig u
 
Hivi Chadema mmemalizana na naibu katibu mkuu wenu au kulalama ndio zenu?

This is another old folk here, unakaa na Katiba mzee unatuletea verse as if u know more, but u r too low, first mdini, then pumba zako nyingi sana
CDM won't borrow stupidity, ignorance, arrogance, etc as u possess, peopla kama nyie hamfai, zile akili zingine hizi, sasa hiyo avatar ndio kusema unamtukana mwalimu? u see ulivyo mdini, always u think stupidity, unamjua mwalimu au? toa ujinga hapa
 
Hivi Chadema mmemalizana na naibu katibu mkuu wenu au kulalama ndio zenu?
waulize vizur sokomoko,kweli nyani haoni makalioyake wao wako bize na kuikashifu cuf wakati ndani ya chadema kuna moto wa pumba unavukuta chinikwachini,kwanza wangetibu madonda yao halafu waangalie yawengine,toa kibanzi ktk jicho lako kwanza halafu ndio uangalie kwenye mboni ya mwenzako kunanini.
 
This is another old folk here, unakaa na Katiba mzee unatuletea verse as if u know more, but u r too low, first mdini, then pumba zako nyingi sana
CDM won't borrow stupidity, ignorance, arrogance, etc as u possess, peopla kama nyie hamfai, zile akili zingine hizi, sasa hiyo avatar ndio kusema unamtukana mwalimu? u see ulivyo mdini, always u think stupidity, unamjua mwalimu au? toa ujinga hapa
kaka unapoteza nguvu za bure. Watoto wa allah hao wako ktk jihad :lol:
 
Anajiita 'mwanasiasa mkongwe'

moyoni amejaa hila. njaa. chuki na wivu (dhidi ya chadema).

mtu mlafi utamjua tu. anaweza kuunda hata 'kambi ndogo ya upinzani bungeni'. ili apate ulaji. aibu

mfilisi wa fikra. wa kuogopwa kama ukoma.

njaa ya tshs. 100 000 000?

Chadema musikubali kuungana nao.

CUF watiifu mumetapeliwa.

undeni chama chenu au njooni kwetu Chadema. viongozi wenu walafi.

...Nilikuwa nafuatilia ule mjadala. Alipoaanza kuongea kuhusu ile posho ya M100, nikajiuliza....wtf?....
 
KAFU NA CHAMA CHA MAJAMBAZI (CCM) WATAHANGAIKA SAAAANA MWAKA HUUUU MANAKE CHADEMA CHAMA CHA UMMA NA UKOMBOZI KINA VIFAAA HATARI AMBAVYO MBUNGE MMOJA WA CHADEMA NI SAWA NA WABUNGE WOTE WA KAFU, WAKATI KWA CCM NI SAWA NA 50. YAANI TUNDU LISSU EQUALS 50 CCM MPs

nimeipenda hiyo hesabu ya uwiano.
 
Back
Top Bottom