ikiwa tetesi zinazoendelea za cuf kumvua gamba mbunge wake wa jimbo la wawi zitakuwa kweli, bila shaka CDM kitakua na nafasi adhimu kujijenga visiwani iwapo watamshawishi mbunge huyo kujiunga na chama hicho.HII ni kwa sababu Cdm haina kamanda wa uhakika ambaye ana uzoevu mkubwa wa siaza za zenji...pia Cdm kinaweza kumpendekeza awe mgombea mwenza wa dr slaa 2015 kuliko kumpendekeza mtu ambaye hana historia inayofahamika kama ilivyokua 2010 ... hii itazidi kuongeza kura za uraisi kwa Cdm..
mambo ya zanzibar waachiwe wazenji wenyewe, cdm ikomae na ukombozi wa tanganyika yetu, achaneni na hamadi
ikiwa tetesi zinazoendelea za cuf kumvua gamba mbunge wake wa jimbo la wawi zitakuwa kweli, bila shaka CDM kitakua na nafasi adhimu kujijenga visiwani iwapo watamshawishi mbunge huyo kujiunga na chama hicho.HII ni kwa sababu Cdm haina kamanda wa uhakika ambaye ana uzoevu mkubwa wa siaza za zenji...pia Cdm kinaweza kumpendekeza awe mgombea mwenza wa dr slaa 2015 kuliko kumpendekeza mtu ambaye hana historia inayofahamika kama ilivyokua 2010 ... hii itazidi kuongeza kura za uraisi kwa Cdm..
Hivi,hivi ni vyama vya siasa au NGOs?ikiwa tetesi zinazoendelea za cuf kumvua gamba mbunge wake wa jimbo la wawi zitakuwa kweli, bila shaka CDM kitakua na nafasi adhimu kujijenga visiwani iwapo watamshawishi mbunge huyo kujiunga na chama hicho.HII ni kwa sababu Cdm haina kamanda wa uhakika ambaye ana uzoevu mkubwa wa siaza za zenji...pia Cdm kinaweza kumpendekeza awe mgombea mwenza wa dr slaa 2015 kuliko kumpendekeza mtu ambaye hana historia inayofahamika kama ilivyokua 2010 ... hii itazidi kuongeza kura za uraisi kwa Cdm..
znz ni kilema kwa cdm,hamadi hawezi kua mguu kwa alivyo ni gongo litakalosaidia chadema kutembea.
unaweza kushinda uchaguzi wowote na kukabidhiwa dola bila hata kupata kura moja zanzibar na pemba- jimbo la ubungo pekee ni sawa na pemba yote!! kwa hiyo sioni hoja unless huyo Hamad aje tu kwa hiari yake mwenyewe lakini si kwa hoja ya kuwa mtaji wa CDM 2015. unless wafanye marekebisho mengine ndani ya katiba kwamba chama kinachounda dola lazima kipate kura nusu au zaidi toka zanzibar na pemba.
CDM kwa sasa haihitaji mtaji wa mwanasiasa yeyote toka vyama vingine kwani yenyewe ndiyo mitaji kwa hawa wanasiasa ambao wana matatizo kwenye vyama vyao wanaweza kuja kama wanataka.