Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,267
- 166,402
Nasikia wimbo huu ni kijembe kwa mkuu wa kisiwa cha marashi ya karafuu,Je kuna ukweli wowote kutokana na tetesi hizi?
Je ni kweli mkulu wa kisiwa ni mlevi wa kupindukia/
Utapata majibu mengi ya aina tofauti kwa walevi hapa. We vumilia yote. Ndio sababu wanaitwa walevi...:smiling:
Lakini hata mimi sidhani kwa inasemekana sponsor wakuurecord ni mke wamkulu??iweje tena iwenikwa ajili ya mukulu??Waongomh..Ahmada umelewa... ni kibao cha bi kidude. ila sikua na habari kwamba umezuiwa kupigwa visiwani
Nasikia wimbo huu ni kijembe kwa mkuu wa kisiwa cha marashi ya karafuu, na serikali ya visiwa hivyo umepiga marufu redio za visiwani kuupiga wimbo huu.
Lakini kwa sababu kudhibiti teknolojia kwenye ulimwengu wa leo, redio za bara ambazo pia husikika visiwani zimekuwa zikiwaburudisha wananchi hao kwa wimbo huo mtamu.
Je kuna ukweli wowote kutokana na tetesi hizi?
Je ni kweli mkulu wa kisiwa ni mlevi wa kupindukia/
:A S 39:kama sikosei unazungumzia wimbo wa ahmada umelewa ambapo vijana wa penalti wamemshirikisha msichana maarufu wa zenj. nadhani ni lugha ya kisanii tu wala si kijembe kwa mzee wa hapa pangu isitoshe kwa uzoefu wangu ahmada ni jina la kike. kama kazi kama hizo zingefuatiliwa kwa mtindo wa hisia sidhani wimbo kama salam kwa mjomba ingemfiikisha pema mjamba mjomba.
hahaaa ahmada ni jina la kiume yakheeee....