Mbunge wa Wawi kwa tiketi ya chama cha wananchi CUF ambaye katika siku za karibu alifukuzwa uanachama na baadae mahakama kuzuia hatua fuatilizi mpaka kesi hiyo itakapokamilishwa leo ameenda mahakamani kuwasilisha hati juu ya kukiukwa kwa maamuzi ya mahakama yanayofanywa na Chama hicho.
Katika mahojiano ambayo tumeyaambatanisha hapo juu, kama ukisikilza na kutafakari kwa undani maneno na ari ya mbunge huyu utagundua kuwa anatumia nguvu kutetea shavu lake. Sasa kama ndani ya chama kimoja watu hamuelewani kuna maendeleo hapo? Siongei mengi zaidi ya kuwasilisha na kutaka mchango wenu wana Ughaibuni.com. Oooh! nilisahau kumbe bungeni kuna posho nono na nyingine inaongezwa punde. Naomba uangalie video hii halafu utoe maoni nini kina kuja akilini mwako, nini kama mwana Ughaibuni unamshauri huyu Mbunge?
Chanzo: Ughaibuni.com

Last edited by a moderator: