dos santos
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 256
- 128
nilifuatilia kwa makini saana mdahalo ulowakutanisha mbunge wa wawi mh hamad rashid kiongozi wa kambi ya upinzani isiyo rasmi na mbunge wa hai mh freeman mbowe ambaya ni kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni.ukiacha ushabiki wa vyana hamad rashid alionesha uelewa mkubwa mno wa kile alichokuwa akikieleza zaidi ya mwenzake mbowe ambaye alikuwa akizungumza hoja ambazo hakuelewa nini msingi wake au amelishwa.ni kama mtu aliyekaririshwa halafu akakuta kitu tofauti.hamad alijibu maswali kitaalamu na kiufundi ambapo mbowe alikuwa akilalamikia cuf juu ya katiba(kama vile wameiweka wao) na kuuliza maswali ya jf yasiyo na kichwa wala miguu.hakuonesha umakini ila udhaifu na kiasi cha kuzua naswali mengi namna kambi ya upinzaji chini ya uongozi wake hali itakuwaje.
Ukweli mbowe siasa bado,aendelee kujifunza kwa wanasiasa wakongwe.
Mdahalo umeonyesha hamad rashid usiku ule alikuwa kama mlima kilimanjaro na freeman mbowe kama kichuguu,kiasi ilimfanya mwenyekiti wa mdahalo awe anaingilia kati kumnusuru mbowe kiasi kilichopelekea mashabiki wa cuf waingilie kati kiasi cha kutaka kupelekea mdahalo uvunjike.
Ilikuwa kama watu walioandaa mechi katika uwanja wao,refa wao,kikombe chao, mwisho wanapigwa mabao na wanabaki na mshangao.
Ni mtazamo tu
Ingawa niliusikiliza mdahalo huu mwishoni nakubaliana na wewe kuwa Mbowe alikuwa kama Kasuku anayesema yale aliyoyasikia tu wakati mwenzake (Hamad Rashid) alionyesha upeo wa hali ya juu ya uelewa wa mambo.
Kama ingalifananishwa na mechi ya Mpira basi matokeo yake ni kama ya juzi baina ya Man U na Blackburn.:drum:
Nilijua wanaccm humu jf watasema ninayo yasikia lakini ukweli ni kwamba mbowe alimfunika vibaya mamuluki kwa point zifuatazo.
1. Kwa kanuni za bunge chadema inaruhusiwa kuunda kambi ya upinzani bila kutishwa wala kuingiliwa na mamluki yeyote
2. Kwa cuf kuwa nusu serikali nusu upinzani siyo rahisi kukurupuka kuwahusisha kwenye kambi ya upinzani
3. Cuf walisusia serikali ya zanzibar 1995, 2000, 2005 yet waliunda kambi ya upinzani anashangaa nini chadema kuunda
4. Kususia hotuba ya rais chadema hawajavunja kanuni yoyote ya bunge wala shria yoyete ya tanzania ila walicheza krata yao vizuri kuibua mjadala wa katiba mpya, na tume huru ambavyo cuf wameshindwa kuvitekeleza.
5. Ilikuwa aibu na uelewa mdogo kwa hamad kuleta mambo ya udini kwenye mdahalo eti niliongea na ndesamburo akaniambia eti cuf sisi wadin bullllllllllllshit hamadi
6. Inaonesha wazi kuwa hamadi ameumia million 200 alizokuwa akipatiwa kama kiongozi bungeni
7. Hamadi alishindwa kufafanua ikiwa cuf inalenga serikali ya umoja wa kitaifa mbona hawajashirikisha vyama vyote zanzibar katika ndoa yao?
8.hamadi alishindwa kufafanua atawezaje kuwa mpinzani wakati yeye ni sehem ya serikali
9. Hamdi amaeshindwa kuelewa kuwa mabadiliko ndani ya bunge hayawezikani bila pressure ya umma nje ya bunge -kwakuwa ndani ccm imejaza mbumbumbu wapiga makofi
10. Kwa ujumla mbowe was cool and hamdi alikuwa na hasira saana hadi pale walipoitwa ccm wakataka kupiga ngumi
hongera rosemary mwakitwange

Ni kweli, Hamad Rashid aling'ara sana na kumfunika Mbowe kwa mbali sana. Tatizo Mbowe alikuwa akiegemea katiaka uzushi unaopatikana katika MWANAHALISI na JF. Kuiita CUF kuwa na kibaraka, si sahihi. Tatizo lenu mkishindwa uwanjani ndani ya dakika 90 mnaanza kejeli na mzaha
Nilifuatilia kwa makini saana mdahalo ulowakutanisha mbunge wa wawi mh hamad rashid kiongozi wa kambi ya upinzani isiyo rasmi na mbunge wa hai mh freeman mbowe ambaya ni kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni.Ukiacha ushabiki wa vyana Hamad Rashid alionesha uelewa mkubwa mno wa kile alichokuwa akikieleza zaidi ya mwenzake mbowe ambaye alikuwa akizungumza hoja ambazo hakuelewa nini msingi wake au amelishwa.Ni kama mtu aliyekaririshwa halafu akakuta kitu tofauti.Hamad alijibu maswali kitaalamu na kiufundi ambapo mbowe alikuwa akilalamikia cuf juu ya katiba(kama vile wameiweka wao) na kuuliza maswali ya jf yasiyo na kichwa wala miguu.Hakuonesha umakini ila udhaifu na kiasi cha kuzua naswali mengi namna kambi ya upinzaji chini ya uongozi wake hali itakuwaje.
Ukweli mbowe siasa bado,aendelee kujifunza kwa wanasiasa wakongwe.
Mdahalo umeonyesha Hamad Rashid usiku ule alikuwa kama mlima kilimanjaro na freeman mbowe kama kichuguu,kiasi ilimfanya mwenyekiti wa mdahalo awe anaingilia kati kumnusuru mbowe kiasi kilichopelekea mashabiki wa cuf waingilie kati kiasi cha kutaka kupelekea mdahalo uvunjike.
Ilikuwa kama watu walioandaa mechi katika uwanja wao,refa wao,kikombe chao, mwisho wanapigwa mabao na wanabaki na mshangao.
ni mtazamo tu