Hamad Rashid: Mtu mzima hatishiwi nyau!

Mimi ningependa sana kuona CUF kwanza ikimhukumu Seif kisha wale viongozi walivamia wanachama wa CUF Manzese na kuwapiga mapanga.. yaani sijaona chama kinawajeruhi wanachama wake wenyewe kwa kosa la kuandaa mkutano. Maswala haya ni muhimu zaidi ya HR maana ushahidi unajitokeza kila siku kwa viongozi hawa kuonyesha jinsi wasivyo wathamini wanaCUF wenye asili ya bara..
Ukiona hivyo ujue chama kimebanwa pabaya sana na huyu HR na kwa kila wanalofanya ndivyo wanamwongezea Umaarufu zaidi..
 
Back
Top Bottom