Hamad Rashid ni Mbunge wa kuchaguliwa kupitia tiketi ya Chama cha Wananchi wa CUF anasonga na utendaji wake kwa tiketi ya Mahakama; hivyo kama Mahakama ijulikanavyo kuwa ni chombo cha kutenda haki basi naye anasimamia kwenye Mhimili huo wa kutenda haki.
Akili za Upawa utazijua tu....mnaropoka bila kufikiri, punguzeni ulimbukeni. Inakuwaje kila aliye na fikra tofauti na zenu basi msaliti? Mbona mmeonekana kwenye kemera mkipokea milungula na Mulugo akawaumbua? Halafu mjengoni mnatokwa na mapovu midomoni ya kinafiki deep inside mkijua mshachukua rushwa?