Yeye mzanzibar anasema hivyo maana wao tayari wanaserekali yao sasa na sisi tunaitaka TANGANYIKA YETU no way. Huyo Hamad hajui sera ya chama chake?
Kiswahili kinakushinda kuandika unataka kujadili muundo wa serikali?
KERO ZA MUUNGANO NI HIZI:-
- FEDHA NA UCHUMI VISIWE VYA MUUNGANO
- ULINZI NA USALAMA VISIWE VYA MUUNGANO
- MAMBO YA NJE ISIWE MUUNGANO
- URAIA NA UHAMIAJI ISIWE YA MUUNGANO
KAMA HIZO ZINAWEZEKANA KUSHUGULIKIWA SAWA.TUBAKI NA MBILI HAYO YASHUGULIKIWE.ndio maoni ya wazanzibar hayo
Uzoefu wa Serikali 2 uko wapi?
Kiswahili kinakushinda kuandika unataka kujadili muundo wa serikali?
anataka uzoefu upi?mbona hasemi serikal 1 situliungana.
ukishakuwa mbunge wa mahakama hata uwezo wa kufikiri hupungua sana
Kupe hawa, wanajua kwa muundo wa serikali mbili za sasa, hawa kupe wanafaidi. Kama kweli wanataka muungano wa kweli popote pale duniani basi iwe seriali moja!
uroho tu wa madaa unawasumbua ninyi mnaojinadi na serikali tatu.
Anabembeleza urafiki wake na Pinda
Tanganyika yetu itakuja tu, MaCCM hawawezi kuizuia, ni suala la muda tu.
Katika kipindi cha jambo tanzania leo tbc one amesema hakuna haja ya serikali 3 kikubwa kutatua kero za muungano,maana hatuna uzoefu wa serikali 3 popote duniani
Watu wote wenye akili ya kuweza kupata A+ watakuja na jibu kama lako, na wale wanaoweza kujikongoja na kupata D ndio mashabiki wakuu wa serikali mbili. Wa serikali tatu ndio wamo katikati ya hizi marks mbili. Mwenye akili na aelewe tuliposimama!Basi kuwe na serikali moja tu.
Huu ni muendelezo wa BIFU na Maalim Seif. Hii kitu huwezi kuiongelea PEMBA anapokuwakilisha. Kweli nazidi kuamini, siasa is a dirty game.