Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamad anaongelea uteuzi wa tume ya katiba. Anatetea rais kufanya uteuzi wawajumbe na kutengeneza hadidu rejea. Eti katiba ya sasa inampa madaraka kufanya teuzi mbalimbali bila kushirikisha bunge. Upupu tu. Naona cuf wameamua kuwa ccm b kabisa kabisa.
Wame break sasa kupata habari za michezo wakirudi ole sendeka naye ataongelea madaraka ya rais katika muswada
Nani ateue wagombea?wanachi ndo tuchague wajumbe kwa kufanya uchaguzi. Katiba ni yetu si ya rais
Ina maana wote hawa wamekuja kutoa ufafanuzi wa kama wanajadili Katiba Mpya au mchakato?
Inakuwaje wanafanana mawazo (CCM na CUF)?
Huu ndio mgonjwa wa hawa jamaa.Sendeka anaumwa? Hivi kwanini wanashikilia kuwa ni CCM iliyoruhusu vyama vingi?
Watachagua vyama vingi. Ila hiyo haiondoi fact kwamba CCM iliruhusu vyama vingi, ingawa referrendum ilikataa.Nakumbuka sana!
Who influenced the president?
Iitishwe kura ya maoni sasa ya CCM ifutwe au iendelee, au iulize tuwe na vyama vingi vya siasa au turudi chama kimoja?
Unatarajia kura hiyo ikiitishwa watanzania watachagua lipi?
Asilimia 78 ya watanzania walikataa vyama vingi. Unaikumbuka ile referrendum?
Sendeka anaumwa? Hivi kwanini wanashikilia kuwa ni CCM iliyoruhusu vyama vingi?
Si useme tu_Sendeka(CCM A) na Hamad(CCM B),.....usitegemee jipya hapoNaona ole sendeka anasema kuwa lisu alisema kuwa nyerere alimomonyoa vipengele katika mambo ya muungano na hivyo eti lisu alimtukana nyerere.
Hapana mkuu. Ila ukweli unabaki palepale, CCM iliridhia uwepo wa vyama vingi kinyume na referrendum.@SOBY:
Unakumbuka tulikuwa tunampigia Mwinyi kura akishindana na kivuli? Hizi ni enzi za CCM.
Unashauri turudi enzi za kura ya ndiyo?
You are living on your past!!Asilimia 78 ya watanzania walikataa vyama vingi. Unaikumbuka ile referrendum?
Well, TBC1 pamoja na kuwa ni chombo cha umma haiwatendei haki watanzania.Sera yao ni moja. Kwa nini TBC hawataki Lissu aungane na hawa ili ajibu hoja zao?
Ole sendeka anaongelea nani yupo nyuma ya uamuzi wa cdm.
Watangazaji hawajui kazi yao. Huwezi kuchukua watu wa upande mmoja tu
Kwa nini?Hapana mkuu. Ila ukweli unabaki palepale, CCM iliridhia uwepo wa vyama vingi kinyume na referrendum.