Hamad Rashid abwagwa kortini

Hamad Rashid abwagwa kortini

Misimamo ya CUF zanzibar inafahamika lakini inaonekana hamad rashid,akiwa na lake moyoni au katika kujitoa fahamu kaamua kwenda kinyume, hali yake jimboni ikoje?
 
Hamad Rashid hana chake kwenye jimbo la Wawi. in short labda raisi ajaye amteue kama mbunge wa kuteuliwa. apart from that atapoteza muda kugombea.
 
Julius Mtatiro, tafadhali nisaidie majibu ya maswali haya:-

Nani ka kwakwambia kwamba CDM wanamtaka Hamad kuimarisha chama visiwani?
Mambo ya CDM yanakuhusu nini wewe Kama kiongozi mkubwa wa chama Chako?
Huoni Kama unapoteza muda kwa kitu ambacho hakikuhusu?

Mtatiro hajaandika hayo unayomuuliza.
yaliyokopiwa ndiyo yes mtatiro, hayo mengine ni ya wowowo.
soma uelewe siyo kukurupukia mambo
 
Last edited by a moderator:
Nampa pole kwa kufiwa na mke mdogo. Inaonekana hawa wapemba mke mbili ndio utaratibu wao.

Siyo mpemba ni muongozo na sharia ya dini ya kiislam ndiyo inayoturuhusu kuongeza mke zaidi ya mmoja mwisho 4 tofauti na wakiristo mke 1 hata ikiwa hakutoshelezi kuna na wale masista ambao hawaolewi wakishikwa na Nye.. ni kashafa tu.

Ukiwa muislamu hata wewe unaweza kuoa 1-4. ndio utaratibu aliotufundisha mtume wetu Muhammad (SAW)na ilivyothibitishwa na kitabu kitakatifu Quran.
 
Kutoka mujibu wa Julius Mtatiro...

My Take
Nini hatma ya Hamad Rashid kisiasa maana ni wazi upepo si mzuri kwake?
Je ni wakati sasa wa CDM kufikiria kumpa nafasi Mh. Rashid ili kuendelea kujijenga visiwani Zanzibar baada ya kuwa na makada wa aina ya Profesa Safari?

Ni wazi mchango wa Hamad Rashid katika kuleta mageuzi nchini si wa kubeza. Aliweza kuiongoza kwa ushupavu kambi ya upinzani bungeni 2005-2010 na ikaleta matunda mazuri. Pamoja na kuhusishwa na ADC (hakuna ushahidi) anaweza kupewa nafasi CDM?

Tujadili hoja, bila matusi

Naomba kujuwa kama sasa ataingia tena bungeni ama la? mana kabla alikuwa anaingia kwa vile bado kesi yake ilikuwa Mahakamani na haijapata uamuzi. sasa kwa taarifa hii hamad Rashid atakuwa nje ya Bunge?
 
Huyu mzee mbona anafiwa sana na wake zake,huyu ni mkewe wa pili kufariki mwaka huu..bunge liunde kamati kuchunguza vifo hivi na taarifa ijadiliwe bungeni
 
Siyo mpemba ni muongozo na sharia ya dini ya kiislam ndiyo inayoturuhusu kuongeza mke zaidi ya mmoja mwisho 4 tofauti na wakiristo mke 1 hata ikiwa hakutoshelezi kuna na wale masista ambao hawaolewi wakishikwa na Nye.. ni kashafa tu.

Ukiwa muislamu hata wewe unaweza kuoa 1-4. ndio utaratibu aliotufundisha mtume wetu Muhammad (SAW)na ilivyothibitishwa na kitabu kitakatifu Quran.

Wanaoa kama ambavyo mudi alikuwa anafanya vilevile compendium yao wanayoita Quran inahimiza hivyo
 
Hv huu uzi ni wa mwaka gan? Make naond wakurupukaji mko busy kwelkwel.... teh tete hteteh teh yaan akiri za makenge utaziona tu. Viroba at work
 
Kutoka mujibu wa Julius Mtatiro...

My Take
Nini hatma ya Hamad Rashid kisiasa maana ni wazi upepo si mzuri kwake?
Je ni wakati sasa wa CDM kufikiria kumpa nafasi Mh. Rashid ili kuendelea kujijenga visiwani Zanzibar baada ya kuwa na makada wa aina ya Profesa Safari?

Ni wazi mchango wa Hamad Rashid katika kuleta mageuzi nchini si wa kubeza. Aliweza kuiongoza kwa ushupavu kambi ya upinzani bungeni 2005-2010 na ikaleta matunda mazuri. Pamoja na kuhusishwa na ADC (hakuna ushahidi) anaweza kupewa nafasi CDM?

Tujadili hoja, bila matusi
Traitors have started with the wrong foot!! The damn traitor HR is out!! nakumbuka aliuita UKAWA eti ni UPAWA!!
 
Mie naona kumkaribisha hamad rashid ndani ya chadema,nisawa na kumuingiza kenge kwenye msfala wa mamba,naikitokea tumpopoe mawe hadi kifo,maana huyu nistaki nataka,
 
Siyo mpemba ni muongozo na sharia ya dini ya kiislam ndiyo inayoturuhusu kuongeza mke zaidi ya mmoja mwisho 4 tofauti na wakiristo mke 1 hata ikiwa hakutoshelezi kuna na wale masista ambao hawaolewi wakishikwa na Nye.. ni kashafa tu.

Ukiwa muislamu hata wewe unaweza kuoa 1-4. ndio utaratibu aliotufundisha mtume wetu Muhammad (SAW)na ilivyothibitishwa na kitabu kitakatifu Quran.

mr.London, nani kakwambia wake wanne wanaondoa tamaa ya kuchepuka? Mbona MICHEPUKO bado ipo?

Kisayansi mwanamke ndo alipaswa kuwa na mume zaidi ya mmoja!

Uislam wako unasema mwamed alikuwa na uwezo wa kuwaridhisha wanawake 30, WORLD RECORD HOLDER na alikuwa na wanawake wa kuoa na watumwa zaidi ya 30.

hili la masista ni utaratibu wa kanisa na si ukristo hivyo sitalisemea
 
Last edited by a moderator:
Nampa pole kwa kufiwa na mke mdogo. Inaonemkana hawa wapemba mke mbili ndio utaratibu wao.

Kiswahili fasaha: "Nampa pole kwa kufiwa na mke mdogo,inaonekana hawa wapemba wake wawili ndio utaratibu wao"
 
Akaribishwe CDM. Na nafikili anaweza hata kugombea Ubunge jimbo la Kinondoni kwa tiketi ya CDM. Mnasemaje wadau

CHADEMA msijaribu kumchukua Hamad Rashid. Huyu na zzk walichukuliwa wakati mmoja na CCM maalumu kuzimaliza Chaema na CUF. Walivuta mlungula mrefu. Mnakumbuka ule mdahalo baada ya uchaguzi Hamadi Rashid alisema rafiki yake huko chadema ZZK alimweleza kuwa huko chadema ni udini umetawala. Huyo ni nyoka hatari sana.
 
Back
Top Bottom