Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani amefanyaje tena? Yule baba kachoka, anamagamba kama chatu duh! Ila sometimes lina hoja!Jamani hebu nisaidieni huyu bwana mrema kweli bado thinking na reasoning capacity yake ina function? mie simuelewi ni mbunge au ni mpiga debe wa JK? angekuwa gari huyu lingekuwa juu ya mawe! na kama angekuwa nguo basi lingekuwa dekio! hafai kiuongozi huyu labda wampe ukamanda wa sungusungu huko kwao kiraracha.
Acha dharau wewe! Mrema bado anatisha tu ila tatizo kisukari kinamstmbua .Inge kuwa ni babako ungekuja kuandika haya uliyoandika? Hata kama kwako kashaisha bado he deserves respect acha ushabiki usiokuwa na maana.
wewe unasema mrema je mwenyekiti wangu DEVOTA FAHMU aah sorry dovutwa!