CUF, UDP na TLP wanataka pesa za Dowans. Kwanini Wananchi hawakuachagua Wabunge wengi toka hivi vyama? (Chadema viti = 70) Wananchi walishashtuka na kambi za kupandikiza za CCM na kujiita "upinzani" Yaliotokea Bungeni na Yanayoendelea Bungeni imedhiirsha wazi njaa ya pesa, madaraka na ugandamizaji wa wachache Afrika. Hii play book ya Hamad, Cheyo na Mrema imetoka hizi nchi za Africa na Wananchi ndio watakao umizwa. Wakati wananchi wanakikataa chama cha mafisadi wengine wanajiunga. Kinacho wasukuma CUF kushikirikiana na CCM ni nini? Huko Zanzibar CUF kafunga ndoa na mwenzi wake CCM na wanalazimisha Chadema kufunga ndoa na CCM....Hii haitatokea kamwe. Upungufu wa uongozi CUF na poor vision ya Taifa ndivyo vinawasumbua CUF, tutaona watakapo galagala chini na CCM yao...Umaskini wa mawazo na ubinafsi ndizo fitina za hawa viongozi wa upe (CUF, TLP na UDP). Habari tulizonazo toka Tanzania, wananchi wameshaona ushirikina wao na ushetani wao. Chadema ndicho chama cha Watanzania na hakitakufa kamwe.
"Vita vya Dowans - Rostam sasa Tunaunganisha CUF, TLP na UDP"
"Vita vya Dowans - Rostam sasa Tunaunganisha CUF, TLP na UDP"