Hama hama ya wabunge: Spika Ndugai na Jaji Mutungi wataka sheria mpya kama suluhisho

Mutungi?

Really?

This guy is the most kitatange of all Tanzanians ever!

No sane human being will ever take his word serious....mzee bure kabisa!

Sijui huyu Mhaya wa wapi aisee..such a shame!
 
........unahama na ubunge wako!
Bado ni udikteta. Kuna aina tatu zawapiga kura, kwanza kuna wanaochagua mgombea kwakuangalia anatoka chama gani. Pili wanaochagua mgombea kwakuangalia utashi wamgombea sio chama. Tatu, wanaofuata mkumbo hawa Hawaangalii chama wala mgombea wanaangalia wapiga kura wengi wapo upande gani.
 
Jiwe atawapinga ingawa anajifanya mzalendo namba moja.

Sisi wengine tulishauri hilo kupitia hapa JF ila wanaojifanya wazalendo na kwamba wana uchungu na fedha za umma, hawakuwahi kuona huo umuhimu!

Tunabadili sheria ya takwimu, tunaacha sheria ya uchaguzi ambayo mpaka sasa imeligharimu Taifa shilingi bilioni 15.8 kutokana na hamahama ya wanasiasa - JamiiForums
Mutungi na Ndugai ni miongoni mwa wanafiki wanne (4) wa nchi hii ambao Mungu hawezi kuwaacha hata iweje , mwingine yuko mahakamani na mwingine yuko serikalini .
 
Kwa maono ya mbali hii hama hama inakwenda kuwawekea vikwazo wale waliotoka Chadema kwenda CCM na baada ya kufika CCM either wameshindwa kuteuliwa/kupitishwa kugombea nafasi fulani hivyo kuzuia mtu kuhama chama kwenda pengine na kugombea nafasi fulani...amini amini nakwambia...
 
How good and how pleasant it would be,
before God and mankind, kukomesha hama hama .
 
nimewatahadharisha kwa kuwa ndiyo utetezi wenu mkuu kwa sasa ili mje na utetezi mwingine
Yani ww unaangazia yawenzio unashndwa kuangazia yakwako????

Ndg kwann umetahadhalisha???? Kwani kuna ukweli wowote hadi utoe tahadhali???? Na swali mie najua lowassa alipitia mchakato Wa chama kumbe hamna?????
 
Yani ww unaangazia yawenzio unashndwa kuangazia yakwako????

Ndg kwann umetahadhalisha???? Kwani kuna ukweli wowote hadi utoe tahadhali???? Na swali mie najua lowassa alipitia mchakato Wa chama kumbe hamna?????
kweli wewe ni mmoja wa wale waliotajwa na twaweza kuwa ni washabiki wa ccm. Nimekwambia kuwa hiyo ndiyo kinga ya maccm yanapohojiwa kwanini mtu anatoka upinzani na kujiunga na ccm na kupewa kugombea nafasi aliyoiacha huwa mnakimbilia kuuuliza mbona chadema walimpa nafasi lowasa
 
kweli wewe ni mmoja wa wale waliotajwa na twaweza kuwa ni washabiki wa ccm. Nimekwambia kuwa hiyo ndiyo kinga ya maccm yanapohojiwa kwanini mtu anatoka upinzani na kujiunga na ccm na kupewa kugombea nafasi aliyoiacha huwa mnakimbilia kuuuliza mbona chadema walimpa nafasi lowasa
Chadema hawakumpa bali walimuuzia nafasi ya Dr Slaa mheshimiwa Lowassa!
 
Kwasasa Sidhan kama inawezekana cos kuna wanao nufaika zaid,japo nivema kuangaliwa upya
 
Ninavyoelewa ni kuwa Katiba yetu haitambui mgombea binafsi, wapiga kura wanapompigia kura mwakilishi wao ni pamoja na chama anachokiwakilisha. Mbunge au diwani akikosa imani na chama chake haina maana kuwa wapiga kura wake nao wamekosa imani nacho. Kwa sababu hiyo itakuwa vyema mbunge au diwani akihama chama basi chama husika kipewe nafasi ya kuteua mtu ataeendelea kusimamia kile ambacho wananchi walikichagua. Mgombea aliyehama atakuwa na haki ya kujiunga na chama kingine ambacho anaona kinamvutia zaidi na uchaguzi unaofuata ataweza kusimama na kuwaeleza wananchi kwa nini chama chake cha awali hakifai na hivyo wakichague chama chake kipya. Kama mbunge/diwani atapoteza maisha yake au ataugua kiasi cha kutoweza kutekeleza wajibu wake basi chama chake kiteue atakakayechukua nafasi hiyo. Itakuwa vyema zaidi kama atakayeteuliwa atakuwa mshindi wa pili katika mchujo uliofanyika ndani ya chama wakati wa uchaguzi uliopita. Uchaguzi mpya ufanyike pale tu ambapo chama kitapomnyang'anya uanachama mbunge au diwani wake ila mbunge au diwani aliyepoteza uanachama itabidi asubiri hadi uchaguzi unaofuata ili aweze kugombea tena nafasi aliyokuwa nayo au nyingine.

Amandla.....
 
Back
Top Bottom