Hama hama ya wabunge: Spika Ndugai na Jaji Mutungi wataka sheria mpya kama suluhisho

Hili jambo nimeliandika sana. Gazeti la Tazama, kwa kujipendekeza likaona litenge matoleo maalumu "kunishughulikia". Kinachoendelea kwenye uchaguzi wa marudio ni ujinga wa hali ya juu. Kizazi kijacho kitatucheka na kutudharau sana. Mabilioni haya yangeweza kufanya kazi nyingine za maaa kwa ustawi wa watu wa taifa letu. Ibadilishwe haraka.
 
Back
Top Bottom