Hayawahusu ya CHADEMA Jana umeyasikia?WAMWAMBIE MWENYEKITI WAO ASIWAPITISHE BILA KUFUATA TARATIBU WALE WANAOJIUZULU UBUNGE UPANDE WA UPINZANI NA KWENDA KUGOMBEA UPANDE WA CCM. HII ITASAIDIA ZAIDI YA SHERIA MAANA SASA HIVI SHERIA ZIPO HATA HUKO CCM KUWA MTU ANAPOHAMIA CCM ANATAKIWA AKAE MIEZI TISA (KAMA SIIJAKOSEA) NDIPO APEWE NAFASI YA KUGOMBEA.
NB; MSIJITETEE KWA UTETEZI WENU WA MBONA CHADEMA WALIMPA LOWASA MAANA LOWASA HAKUWA RAIS KWA TIKETI YA CCM
KumbeKwani hela wanatoa mfukoni mwao hili ni kipaumbele
Siasa na dini ndio njia sahihi za kupeleka wanadamu motoniSiasa ni hatari sanaaa
Mtake radhi spika wa bunge letuWanafiki na waongo wakubwa hao...hakuna kitu kama hico. Ni mchezo wa Mamba huu anakutafuna huku anatoa machozi
Hahahah kabisaSiasa na dini ndio njia sahihi za kupeleka wanadamu motoni
Ruzuku utaua watu aiseeHiyo sheria iwepo na ubano kwa vyama
Juu ya Ruzuku na kukifanya chama kuwa cha wanachama na sio Chama cha watu wachache
CCM wakiamua inafuatwaTatizo sio sheria je itafuatwa
Pole yako wewe unayeona,maana mimi nimeamua kufumba macho kabisa ili nisione maupuuzi kama hayonaona hela za manunuzi zimeisha.
Pole yako wewe unayeona,maana mimi nimeamua kufumba macho kabisa ili nisione maupuuzi kama hayo
Sheria yoyote itakayotungwa ili kuzuia mtu kuhama chama itakuwa ni kinyume na democracy. Hapo tutakuwa tunaingia kwenye udicteta halisi!Spika wa bunge Job Ndugai na Jaji Mutungi wamesema sheria mpya ndio itakuwa mwarobaini wa hii hama hama na ongezeko la gharama za uchaguzi.
Chanzo: Gazeti la Dira!
UZURI WANACCM WENYEWE WAMESHAANZA KUCHOSHWA NA HUO USANII WENU. KAMA SPIKA WA BUNGE AMESEMA MANENO HAYO WEWE KAPUKU UNA NINI ZAIDI YA KUPIGA MAKOFIHayawahusu ya CHADEMA Jana umeyasikia?
Namtaka Radhi Supika wa Bunge Letu, muungwana ni VitendoMtake radhi spika wa bunge letu
Acha tuingie tuu mbona hata babu zetu walikuwa nyani wakajitahidi hadi wakawa binadamu,labda udicteta halisi utakuwa na nafuu kuliko kubaki hapa tulipoSheria yoyote itakayotungwa ili kuzuia mtu kuhama chama itakuwa ni kinyume na democracy. Hapo tutakuwa tunaingia kwenye udicteta halisi!
........unahama na ubunge wako!Sheria yoyote itakayotungwa ili kuzuia mtu kuhama chama itakuwa ni kinyume na democracy. Hapo tutakuwa tunaingia kwenye udicteta halisi!
Wabongo bhana yani umejitekenya halafu ukaanza kucheka Mwenyewe!! Nmefurahi mtekenyo wako hapo juu mcheko wako hapo chiniWAMWAMBIE MWENYEKITI WAO ASIWAPITISHE BILA KUFUATA TARATIBU WALE WANAOJIUZULU UBUNGE UPANDE WA UPINZANI NA KWENDA KUGOMBEA UPANDE WA CCM. HII ITASAIDIA ZAIDI YA SHERIA MAANA SASA HIVI SHERIA ZIPO HATA HUKO CCM KUWA MTU ANAPOHAMIA CCM ANATAKIWA AKAE MIEZI TISA (KAMA SIIJAKOSEA) NDIPO APEWE NAFASI YA KUGOMBEA.
NB; MSIJITETEE KWA UTETEZI WENU WA MBONA CHADEMA WALIMPA LOWASA MAANA LOWASA HAKUWA RAIS KWA TIKETI YA CCM