Hama hama imesimama, or is it? Imebaki hatari endelevu

Hama hama imesimama, or is it? Imebaki hatari endelevu

Hili nmekuwa nikilisema. Linakosesha hata imani za watoa hoja.kanuni za utoaji hoja kitaaluma ni pamoja na kumheshimu unayempinga. Ukianza kuandika majina ya kebehu,matusi n.k inaonesha huna hoja au hoja yako kiini chake ni chuki.

Tupende tusipende ukienda popote pale ukaulizwa au uliza rais wa tanzania ni mh john pombe magufuli.haijalishi nampenda au namchukia. Ni akili za kitoto kudhani ukimwita jina la kebehi inakufanya uoneshe jinsi unavyomchukia au usivyompenda.

Waafrika tulifundishwa kuheshimu wakubwa no matter what.lakini kwa akili ya leo ukimheshimu mtu watasema umenunuliwa.ila ukimtukana wanakuita shujaa.hakuna shujaa wa matusi.

Chahali wewe ni mtu mzima.usiingie kwenye mtego wa watoto wasio na elimu au ufahamu.jenga hoja yako vizuri heshima weka sehemu yake
Asante GuDu,
Heshima kitu cha cha, ustaarabu ni busara na uungwana
P
 
Asante GuDu,
Heshima kitu cha cha, ustaarabu ni busara na uungwana
P

Avumilie tu
JKN tulimuita mchonga meno ( mchonga), haambiliki, mzee kifimbo

JK tulimuita, Vasco Da Gama, Dhaifu, wa kuchekacheka, kuna mada ilianzishwa humu "Screw Muungwana"

Sasa Jiwe atulie tu tumuite alivyojiita yeye mwenyewe
 
Back
Top Bottom