Hama hama imesimama, or is it? Imebaki hatari endelevu

Tatizo lako mkuu ni unafiki mkubwa ulionao,hueleweki ulipo,ila siye intellectuals tunajua vyema ulipo,pole kwa kazi ngumu...
Tuambie ana kazi gani ngumu tujuze hiyo tujue.unajua huku mtaani huwa watu wanadanganyana sana kuwa usalama wa taifa huwa hawastaafu,wala hawaachi kazi au kufukuzwa kazi?
 
Yes hata kichaa pia kajiita mwenyewe, lakini kwa sisi verified, ni muhimu kuonyesha heshima na lugha ya staha.
Kichaa, Jiwe sio majina ya staha.
P
Pascal, unamkosea heshima raisi wetu kwa kuonyesha kua hana staha. Yeye alijipa hayo majina, unataka kutuambia amejipa majina yasiyo na staha. Au unataka kumaanisha kwamba kuna wakati staha huwa inamtoka raisi wetu na kujikuta anajipa majina mabaya? Pascal, kwahiyo unatushawishi tuache kumuamini raisi wetu kipenzi simply because hatujui siku wala saa ambapo staha humtoka na kujikuta anafanya yasiyo ya staha?
 
Heshima kitu cha bure, kwa ushauri tuu, hata tutofaitiane vipi na viongozi wetu, tunapaswa kuwaheshimu no matter what, for objectivity, sisi tunaotumia verified accounts, tutumie real names kuadress viongozi wetu, ma najina yao halisi au synonyms kama Mkuu, mkulu, top, Mzee, JPM, Magu etc ambayo sio degrading, my opinion jina jiwe ni degrading.
P
Yeye mwenyewe ndiye alijiita jiwe na kichaa, hivyo ni haki yake
 
Heshima kitu cha bure, kwa ushauri tuu, hata tutofaitiane vipi na viongozi wetu, tunapaswa kuwaheshimu no matter what, for objectivity, sisi tunaotumia verified accounts, tutumie real names kuadress viongozi wetu, ma najina yao halisi au synonyms kama Mkuu, mkulu, top, Mzee, JPM, Magu etc ambayo sio degrading, my opinion jina jiwe ni degrading.
P
Ila mkuu Pascal Mayalla wewe bado hauna kitiki cha kijani waombe wakuverify basi. Tunajua ni wewe ila alama ya kuwa verified hauna hebu fanyia kazi hili jambo.
 
Moja ya vitu vitakavyokumbukwa kwa muda mrefu kuhusu utawala wa Jiwe ni jinsi ambavyo hajajihangaisha kuficha chuki yake dhidi ya Upinzani/Wapinzani. Katika Hotuba zake na katika matendo yake, ameonyesha bayana kuwa anawachukia wapinzani/anauchukia upinzani. This is wrong.

However, anachofanya Jiwe ni mwendelezo wa sustained campaign of chuki, iliyozaliwa mara baada ya kuruhusiwa kwa mfumo wa vyama vingi mwaka 1992. Yes, it's a sustainable campaign ambayo haya mnayoyaona hadharani ni tip tu ya iceberg ya tatizo kubwa linaloendelea kudumu kwa miaka 26 sasa.

Hivi unafahamu kuwa kuna chama cha siasa chenye usajili wa kudumu ambacho kiliazishwa na Kitengo (japo kwa kiasi kikubwa kabisa hakijawahi kuwa na ufanisi wowote)? No. Sio among mainstream political parties bali moja ya vile vinavyosikika nyakati za uchaguzi mkuu tu.

Kwahiyo hujuma dhidi ya Upinzani zimekuwepo kwa muda mrefu sana ila tu Jiwe ameamua kuwa haina umuhimu ya kuficha hujuma hizo. Ameziweka hadharani. Ni rahisi kudhani utawala wake ndio unaoongoza kwa hujuma dhidi ya wapinzani ilhali watangulizi wake Ben na JK waliuhujumu upinzani vibaya mno lakini kwa kificho.

Kwa vile Watanzania ni wasahaulifu, hakuna mtu aliyewahi kujihangaisha japo kufahamu, let alone kutangaza, idadi ya wahanga wa "mtandao (wa JK, Lowassa na Rostam)" katika safari yao ya kutafuta urais kati ya 1995-2005. Lakini hata wangejitokeza watu wa kuyaweka hayo hadharani ingebadili nini kwa "kizazi hiki cha Ubuyu"?

Ni rahisi kudhani "watu wasiojulikana" ni phenomenon mpya iwapo mtu hatojihangaisha kutambua jinsi ishu kama ya Loliondo ilivyogharimu uhai wa watu kadhaa, au zama za "Zoka na Mabepwande yake."

Na ni rahisi kudhani kuwa zoezi la kuwanunua wabunge na madiwani wa Upinzani ni hatua mbaya zaidi kufanywa na CCM dhidi ya wapinzani wake, only kwa sababu asilimia kubwa ya Watanzania hawajui - na wengine hawajihangaishi kujua - hiyo sustained campaign ya chuki/hujuma dhidi ya Upinzani.

Katika muda wote wa mfumo wa vyama vingi, kumekuwa na mbinu kadhaa zinazotumika kuwahujumu wapinzani. Kubwa zaidi ni mbili: kisheria na kishushushu.

Kisheria ni mfumo kandamizi kuanzia kwenye chaguzi na takriban kila eneo linalohusu siasa. Pointi hii haihitaji ufafanuzi.

Kishushushu, ni hujuma endelevu za kitengo dhidi ya Upinzani na wanasiasa wa upinzani. Hii inachangiwa zaidi na imani fyongo kuwa "upinzani/Wapinzani ni tishio kwa usalama wa taifa." Na ndio maana baadhi yetu tumekuwa tukipiga kelele kuhusu #TISSReforms (Uki-Google with hashtag utaona "kelele" hizo).

Nakumbuka mwaka 2015 nilijaribu kuwaelimisha "wana-mabadiliko" kwamba ugumu kwa Lowassa kuwa Rais haupo kwenye sanduku la kura bali jinsi atakavyoweza kukabiliana na "sanaa za kiza" (dark arts), nikaishia kutukanwa.

Kimfumo, Rais ambaye ndio Mwenyekiti wa CCM ndiye pia "mkuu halisi wa kitengo." Neno la kishushushu ni "sponsor." Yeye ndio consumer wa intelligence reports zote kutoka kitengoni. You seriously don't think hatiweza kutumia taarifa dhidi ya "wabaya wake/wa chama chake" kwa manufaa yake binafsi/ya chama chake, do you?

Kitengo kinafanya "penetration" kwenye vyama vya upinzani si kwa sababu tu "Kitengo kinafanya kazi za CCM" bali kwa sababu ya imani hiyo fyongo kuwa "Wapinzani/upinzani ni tishio kwa usalama wa taifa." Kwahiyo, virtually, ni wajibu wa kitengo kuvihujumu vyama hivyo kutokana na imani hiyo fyongo ambayo sasa ni kama sheria isiyo rasmi.

Kwahiyo basi, pengine "hama hama" ilipaswa kuwa blessing in disguise, kwa maana ya vyama vya upinzani kuanzisha jitihada za makusudi kuwatambua mapandikizi lukuki waliomo kwenye vyama hivyo. Kwanini sie tunaowafahamu tusiwataje? Well, what if nikimtaja mtu kwa sababu namchukia tu? In fact kijana mmoja wa Chadema mpambe wa Bashite amekuwa akitumia hoja hiyo "kujilinda," kwamba "namzushia kwa vile alinihoji kama bado nipo Kitengo."

Lakini hata kama nikimtaja mtu kwa nia ya kuwasaidia Wapinzani, what if wakichukua hatua ya kumdhuru? Ikumbukwe kwamba kuwa pandikizi la kitengo kwenye chama cha upinzani sio sawia lakini pia sio dhambi wala kosa la jinai.

Hata hivyo, Upinzani unapaswa kubeba lawama kwa kutonihangaisha kuhakikisha kila aliyemo kwenye vyama vyao ni mwenzao kweli. Ni uzembe wa aina hiyo uliopelekea afisa mmoja wa kitengo kujipenyeza katika jimbo moja huko nyanda za juu Kusini, na kugombea kwa tiketi ya upinzani, na sasa ni mbunge kamili wa upinzani. Huyu anaenda kosa kisheria kwa sababu bado ni mtumishi wa umma (kitengo) na sheria inakataza hilo.

Nini kifanyike? Hakuna mwarobaini wa kutibu tatizo hili papo kwa hapo. Ugumu wa kutatua ndoa ya CCM na kitengo ni ukweli kwamba kuna symbiotic relationship kati yao. Survival ya kila mmoja inategemea survival ya mwenzie.

Kunahitajika long-term strategies kwenye kudai mabadiliko ya kisheria (in other words, Katiba mpya) na immediate action ya kuwabaini mapandikizi na kuwaondoa. Haitokuwa kazi rahisi lakini not impossible.

Penye nia pana jina. Pasipo na nia pana kisingizio.

katiba mpya yenye kufumua mfumo wa kiduwanzi wa serikali ndio solution..

rais ni kama mungu literally
 
Heshima kitu cha bure, kwa ushauri tuu, hata tutofaitiane vipi na viongozi wetu, tunapaswa kuwaheshimu no matter what, for objectivity, sisi tunaotumia verified accounts, tutumie real names kuadress viongozi wetu, ma najina yao halisi au synonyms kama Mkuu, mkulu, top, Mzee, JPM, Magu etc ambayo sio degrading, my opinion jina jiwe ni degrading.
P

Mkuu...Jiwe alili-coin JPM mwenyewe....same na kujiita kichaa.
Paskali......we are in a very interesting era politically.
 
mbona hilo linafahamika kabisa wana vitengo wangapi wamezamishwa pale kijitonyama kwa wao kuwa chadema unadhanai watu alio kitengoni hawana nyama na damu mbona ndio hao wanaowaambia kila pandikizi lilopo ndani ya upinzani sema sasa magufuli alichokkiongeza anauwa zaidi wenziwe waliuwa hata upinzani wanajuwa lakini sio kwa kasi kubwa ya huyu bwana hadi wananchi wamestuka lakini ndunia nzima wananchi wakiamuwa hakuna kitengo hala jeshi ni swala la muda tu one day itakuja kuwa kitengo chenyewe kiko into pieces
 
Heshima kitu cha bure, kwa ushauri tuu, hata tutofaitiane vipi na viongozi wetu, tunapaswa kuwaheshimu no matter what, for objectivity, sisi tunaotumia verified accounts, tutumie real names kuadress viongozi wetu, ma najina yao halisi au synonyms kama Mkuu, mkulu, top, Mzee, JPM, Magu etc ambayo sio degrading, my opinion jina jiwe ni degrading.
P
Is a cover up mr pascal. Unajua sometimes kumua adress president straight kwa ishu kama hiz zinaleta ukali wa maneno.
 
Tatizo lako mkuu ni unafiki mkubwa ulionao,hueleweki ulipo,ila siye intellectuals tunajua vyema ulipo,pole kwa kazi ngumu...
Nadhan kuna kitu hujakielewa vizur. Location yake ni classified thing, ni privacy yake. Kuitaja kuwa yuko wapi ni rahis kumfuata na kufanyia lolote baya. So kwangu ni defencive.
Kuhusu unafki hilo sijui, unless maybe kama kuna mtu ambae aliwah fanya nae kazi.
 
Yes hata kichaa pia kajiita mwenyewe, lakini kwa sisi verified, ni muhimu kuonyesha heshima na lugha ya staha.
Kichaa, Jiwe sio majina ya staha.
P
Ndio maana wengi hatumwelewi Magufuli sababu ya unafiki, Magufuli jiwe analiita jiwe na Mkate unaita mkate.

Yeye mwenyewe alijiita jiwe na akasisitiza ni jiwe kweli kweli!....wewe ni nani hadi upinge?

Mbona buldoza mliandika hadi kwenye magazeti... !
 
Nadhan kuna kitu hujakielewa vizur. Location yake ni classified thing, ni privacy yake. Kuitaja kuwa yuko wapi ni rahis kumfuata na kufanyia lolote baya. So kwangu ni defencive.
Kuhusu unafki hilo sijui, unless maybe kama kuna mtu ambae aliwah fanya nae kazi.
Karudishiwa kazi yake na kapewa majukumu kwa stahili ileile ya kuunga mkono juhudi. Mfuatilie atagundua kitu.
 
Heshima kitu cha bure, kwa ushauri tuu, hata tutofaitiane vipi na viongozi wetu, tunapaswa kuwaheshimu no matter what, for objectivity, sisi tunaotumia verified accounts, tutumie real names kuadress viongozi wetu, ma najina yao halisi au synonyms kama Mkuu, mkulu, top, Mzee, JPM, Magu etc ambayo sio degrading, my opinion jina jiwe ni degrading.
P
Au tutumie Chifu Nanga
 
Kwa hiyo unamkosoa mtoa jina ambaye ni magufull mwenyewe??
 
Back
Top Bottom