Hama hama imesimama, or is it? Imebaki hatari endelevu

Heshima kitu cha bure, kwa ushauri tuu, hata tutofaitiane vipi na viongozi wetu, tunapaswa kuwaheshimu no matter what, for objectivity, sisi tunaotumia verified accounts, tutumie real names kuadress viongozi wetu, ma najina yao halisi au synonyms kama Mkuu, mkulu, top, Mzee, JPM, Magu etc ambayo sio degrading, my opinion jina jiwe ni degrading.
P
Nasikia ndio wanaita uhuru wa kujieleza
 
Watanzania tunakosea jambo moja tu! Tumewekeza mno kwa wanasiasa. Kila kukicha ni kujadili mwanasiasa huyu kasema hili, au lile. Hakuna fikra nje ya siasa? Kwanini tumekubali vichwa vyetu vinajazwa mada na wanasiasa?
Jf kuna najukwaa mengi tu, why clicking jukwaa LA siasa?
 
Mimi situmii jina halisi, lakini sioni kama nisahihi kutukana, sidhani kama unamaanisha wasiotumia real names wanapaswa kutukana na mnaotimia hampaswi. Wote hatupaswi.
Kuhusu jina JIWE, kwa mtizamo wangu sidhani kama ni jina baya. Na sioni degrading yoyote kuhusu jina. Majina yetu halisi pia yana maana tofauti, yapo ya kizungu na yetu ya kiasili. Lakini jina ni jina tu. JIWE linamaana gani mbaya?! What is soo degrading about it?! Rais wetu alijiita ni JIWE kama sifa, lakini mimi sioni ubaya likitumika. Usijali kuona wapinzani wake kulitumia sana kuliko wafuasi au wachama chake. Let them call him JIWE, kwani nini kinapungua kwake. Ataendelea kuwa Rais wetu, na hakuna athari zozote ninazoziona kwenye jina jiwe. Pascal huwezi kupendwa na kila mtu dunia hii. Lakini hata wanaokuchukia hawapunguzi hata chembe ya utu wako, sasa why should you be bothered by their hate toward you?! Hivyo hivyo kwa JPM sioni athari zozote za wao kumu address kama JIWE. Nimtizamo wangu lakini.
Kwa maelezo hayo hata baba ako kumwita pimbi ni sawa tu halipunguz chochote kile na baba atabaki kuwa baba na haiitaji kuona kavunjiwa heshima coz kuna mahali ulisikia akiongea kwa utani kuwa ukinikuta na akili zangu za upimbi au kichaa siwez kufanya kitu au naweza kufanya hiki.Ieleweke wanaomuita jiwe au kichaa kwa mtazamo wangu hawaendi sawa na yeye alimaanisha nini.Wao wamekata neno kichaa au jiwe na kupanda vitu vyao hasi. Mkuu heshima ni kitu muhim sana haijalishi inapunguza au inaongeza chochote.

Kutompenda kiongoz haina maana ndio umdharirishe au ufanye kaz ya kueneza propaganda chafu za kutoa UTU wake. Uhuru huu mnaouita UHURU wa kujieleza au kutoa Maoni ni FUJO. Wanasema UHURU BILA NIDHAMU NI FUJO. So una uhuru wa kumpinga jpm kwa lolote lile lkn kitendo cha kutoonesha nidhamu ni FUJO. Jpm ni binadamu sio malaika, kwa maana ana mapungufu kama binadamu. Sifikiri kwa hizi kejeli na matusi haya leo hii awapende wapinzani, HAIWEZEKANI hata kidogo. Tutabaki tunaimba anakandamiza upinzan lkn ukija kuangalia hata upinzan wenyewe umeshajijengea mazingira ya kukandamizwa.

Huwa nasema NGUVU WANAYOTUMIA WAPINZANI KUMTUKANA, KUMDHIAKI NA KEJELI JPM haiwez kuwa tofauti na NGUVU ANAYOTUMIA yeye KUJIHAMI kwa kutumia MAMLAKA YAKE.
 
Nimesoma na watu wa mikoa ya kusini, wenye majina ya wanyama, na mazao n.k. Mwanzo tulidhani wanataniwa lakini tulikuja kujua ni majina yao halisi. Kulikuwa na Ng'ombe, Ndizi , Nguruwe na Komba. Jina likiwa geni kwako unaweza kuliona kama tusi au dhihaka fulani hivi. Nakubali kama baba yangu angeitwa Pimbi, sijui kwanini nilikatae jina. Mtizamo nikitu tofauti, binafsi sioni tatizo la Rais wetu kuitwa JIWE. Si halalishi na sijamuita mimi, ila humu JF wengi wamemuaddress hivyo. Dhihaka,kejeli na matusi yapo lakini hata mimi sipendi lakini sio mimi niliye halalisha au hoja yangu kuhalalisha aitwe jiwe. Nilitoa maoni yangu kama wengine wafanyavyo. Kama umechukizwa niwieradhi.
 
Ndio maana wengi hatumwelewi Magufuli sababu ya unafiki, Magufuli jiwe analiita jiwe na Mkate unaita mkate.

Yeye mwenyewe alijiita jiwe na akasisitiza ni jiwe kweli kweli!....wewe ni nani hadi upinge?

Mbona buldoza mliandika hadi kwenye magazeti... !
Nafikiri ukimsikiliza yeye jpm bila kukata kakipande kwa neno jiwe na ukiwasikiliza hawa bavicha wanavyolitumia utaona ni vitu viwil tofaut. Ni sawa na kusema ye kichaa, maana inayotumiwa na bavicha na mazingira wanayotumia ni vitu viwili tofauti. Hizi ni propaganda tu za kumchafua lkn sio kwamba wanaita kwa maana iliyokusudiwa. Mfano ktk jamii mtu anaweza kukutania we mxe****nge unahatar sana. We utakua umeelewa nini kinamaanishwa na hii ni kutokana na mazingira. Wat if wakati jamaa anakuita hivo kulikua na jamaa mwingine pembeni akasikia ukiitwa hivo na bila kureact kesho naye aanze kukuita mx***nge?Je utakubali kisa kuna siku ulikubali?Labda sio mtanzania, lkn kwa watanzania mtu kujiita chizi,kichaa, fara na vitu vya ajabu ajabu ktk mazingira flani ni kitu cha kawaida lkn pale hayo majina yatakapotumika nje ya mazingira husika ugeuka matusi mazito.
 
Nimesoma na watu wa mikoa ya kusini, wenye majina ya wanyama, na mazao n.k. Mwanzo tulidhani wanataniwa lakini tulikuja kujua ni majina yao halisi. Kulikuwa na Ng'ombe, Ndizi , Nguruwe na Komba. Jina likiwa geni kwako unaweza kuliona kama tusi au dhihaka fulani hivi. Nakubali kama baba yangu angeitwa Pimbi, sijui kwanini nilikatae jina. Mtizamo nikitu tofauti, binafsi sioni tatizo la Rais wetu kuitwa JIWE. Si halalishi na sijamuita mimi, ila humu JF wengi wamemuaddress hivyo. Dhihaka,kejeli na matusi yapo lakini hata mimi sipendi lakini sio mimi niliye halalisha au hoja yangu kuhalalisha aitwe jiwe. Nilitoa maoni yangu kama wengine wafanyavyo. Kama umechukizwa niwieradhi.
Huna ttz,shida ni kutaka kuona hizi dhihaka ni sawa tu.Mtu kama jina lake ni Ng'ombe ukimwita kwa maana ya kumwita hana shida lkn ukimwita kwa maana ya kumkashifu itajulikana tu kuwa ujaita jina bali umegeuza jina kama tusi.Watu hawamwit jiwe au kichaa kwa maana ya yy mwenyewe muhusika alisema na hakuna sehem alisema mniite jiwe au kichaa ila wameamua kukata speech nzima na kubakiza neno jiwe au kichaa na kutumia kama wanavyotaka na ukihoji unaambiwa ye mwenyewe alisema anaitwa jiwe au kichaa. Kwa mtanzania kusema Mimi chizi,fara,boya au kichaa au jiwe akiwa anaelezea kitu flani ni kawaida sana na watu wanaelewa lkn katika siasa inabadilishwa inakua ni agenda na kila wakitaka kukudhihaki au kukuchafua wanatumia hayo maneno kukazia kadri wanavyoweza.
 
Heshima kitu cha bure, kwa ushauri tuu, hata tutofaitiane vipi na viongozi wetu, tunapaswa kuwaheshimu no matter what, for objectivity, sisi tunaotumia verified accounts, tutumie real names kuadress viongozi wetu, ma najina yao halisi au synonyms kama Mkuu, mkulu, top, Mzee, JPM, Magu etc ambayo sio degrading, my opinion jina jiwe ni degrading.
P
Pale Mwana Kitengo anapomkumbusha na kumuelekeza Mwana Kitengo mwenziye..
 
Upinzani umejiuwa wenyewe
Kwanza wamechacha vibaya sana
Hawana pesa
Yamekuwa uharo
 
Huna ttz,shida ni kutaka kuona hizi dhihaka ni sawa tu.Mtu kama jina lake ni Ng'ombe ukimwita kwa maana ya kumwita hana shida lkn ukimwita kwa maana ya kumkashifu itajulikana tu kuwa ujaita jina bali umegeuza jina kama tusi.Watu hawamwit jiwe au kichaa kwa maana ya yy mwenyewe muhusika alisema na hakuna sehem alisema mniite jiwe au kichaa ila wameamua kukata speech nzima na kubakiza neno jiwe au kichaa na kutumia kama wanavyotaka na ukihoji unaambiwa ye mwenyewe alisema anaitwa jiwe au kichaa. Kwa mtanzania kusema Mimi chizi,fara,boya au kichaa au jiwe akiwa anaelezea kitu flani ni kawaida sana na watu wanaelewa lkn katika siasa inabadilishwa inakua ni agenda na kila wakitaka kukudhihaki au kukuchafua wanatumia hayo maneno kukazia kadri wanavyoweza.
Hahaha sasa basi wasimuite jiwe.
 
Hili nmekuwa nikilisema. Linakosesha hata imani za watoa hoja.kanuni za utoaji hoja kitaaluma ni pamoja na kumheshimu unayempinga. Ukianza kuandika majina ya kebehu,matusi n.k inaonesha huna hoja au hoja yako kiini chake ni chuki.

Tupende tusipende ukienda popote pale ukaulizwa au uliza rais wa tanzania ni mh john pombe magufuli.haijalishi nampenda au namchukia. Ni akili za kitoto kudhani ukimwita jina la kebehi inakufanya uoneshe jinsi unavyomchukia au usivyompenda.

Waafrika tulifundishwa kuheshimu wakubwa no matter what.lakini kwa akili ya leo ukimheshimu mtu watasema umenunuliwa.ila ukimtukana wanakuita shujaa.hakuna shujaa wa matusi.

Chahali wewe ni mtu mzima.usiingie kwenye mtego wa watoto wasio na elimu au ufahamu.jenga hoja yako vizuri heshima weka sehemu yake

Back
Top Bottom