Jaman kwa walimu mnaotaka kuhama/kubadilishana vituo vya kazi kuna application moja unaweza ukajisajiri ukapata watu wa kubadilishana nao wapo wengi na utapata details zao
Tembelea
www.hamafasta.com
Itume kwenye magroup na whatasup inaweza kuwasaidia wengine.