M2mwembamba
JF-Expert Member
- Feb 23, 2014
- 2,491
- 1,097
Wanakulipa Tsh ngapi kuwatetea na kupindisha ukweli uliopo juu ya Utapeli wa HALOTEL? Kwahiyo zile taarifa zote za Media za Tanzania hadi na tukaonyeshwa na Video zao walivyokuwa wanapelekwa Mahakamani sisi Watanzania tulilishwa matango pori?
Piga huduma kwa wateja wakuelekeze jinsi ya kujiondoa kwenye huduma ya mkopo,tatizo lao hata kama uliwahi kukopa mara moja tu,mkopo unakuwa endelevu kila unapopungukiwa salio na wanakata pale unapoongeza salio, inawezekana kuna siku uliweka simu sehemu mtu wako wa karibu akataka kupiga na alipokuta hakuna salio akakopa na sasa ndicho kinachokutafuna.Ni Mara kadhaa Sasa nikiingiza Salio kuanzia 1000 na kuendelea wanakata Salio langu na kusema limelipwa deni. Wakati sijawahi kukopa hata siku moja ktk mtandao wa halotel.
Leo nimeingiza Salio la 1500 nimekatwa Nasema hawa jamaa hawako makini na kazi zao wasidhani huu ni ulimwengu ule kipindi mtandao ya simu inaanza.
Nitaambatanisha hapa SMS zao walizokata pesa wanaonesha muda niliokopa ni usiku wakati simu Yangu automatically inajizima SAA tano kamili usiku na kujifungua SAA kumi na mbili kamili asubuhi kila siku. Ndio maana Nasema hai ni wezi maana huo muda Mimi nakuwa tayari nilisha lala.
SMS zao ni hizo ;
(PATASALIO)
Akiba yako imekatwa kiasi cha Tsh 500 kwa malipo ya mkopo, tarehe 2017/02/04 00:43:35. Deni ni Tsh 600. Ahsante!
(PATASALIO)
Akiba yako imekatwa kiasi cha Tsh 51 kwa malipo ya mkopo, tarehe 2017/02/04 00:43:35. Deni ni Tsh 549. Ahsante!
Ni Mara kadhaa Sasa nikiingiza Salio kuanzia 1000 na kuendelea wanakata Salio langu na kusema limelipwa deni. Wakati sijawahi kukopa hata siku moja ktk mtandao wa halotel.
Leo nimeingiza Salio la 1500 nimekatwa Nasema hawa jamaa hawako makini na kazi zao wasidhani huu ni ulimwengu ule kipindi mtandao ya simu inaanza.
Nitaambatanisha hapa SMS zao walizokata pesa wanaonesha muda niliokopa ni usiku wakati simu Yangu automatically inajizima SAA tano kamili usiku na kujifungua SAA kumi na mbili kamili asubuhi kila siku. Ndio maana Nasema hai ni wezi maana huo muda Mimi nakuwa tayari nilisha lala.
SMS zao ni hizo ;
(PATASALIO)
Akiba yako imekatwa kiasi cha Tsh 500 kwa malipo ya mkopo, tarehe 2017/02/04 00:43:35. Deni ni Tsh 600. Ahsante!
(PATASALIO)
Akiba yako imekatwa kiasi cha Tsh 51 kwa malipo ya mkopo, tarehe 2017/02/04 00:43:35. Deni ni Tsh 549. Ahsante!
TCRA wanakula nao, wamekuwa matapeli haswa kuanzia mwezi wa 2 mwaka huu.
Hii ishanitokea nikawapigia simu wakarekebisha.
Mkuu unapoingiza vocha unatakiwa uzime data kwanza.Ni Mara kadhaa Sasa nikiingiza Salio kuanzia 1000 na kuendelea wanakata Salio langu na kusema limelipwa deni. Wakati sijawahi kukopa hata siku moja ktk mtandao wa halotel.
Leo nimeingiza Salio la 1500 nimekatwa Nasema hawa jamaa hawako makini na kazi zao wasidhani huu ni ulimwengu ule kipindi mtandao ya simu inaanza.
Nitaambatanisha hapa SMS zao walizokata pesa wanaonesha muda niliokopa ni usiku wakati simu Yangu automatically inajizima SAA tano kamili usiku na kujifungua SAA kumi na mbili kamili asubuhi kila siku. Ndio maana Nasema hai ni wezi maana huo muda Mimi nakuwa tayari nilisha lala.
SMS zao ni hizo ;
(PATASALIO)
Akiba yako imekatwa kiasi cha Tsh 500 kwa malipo ya mkopo, tarehe 2017/02/04 00:43:35. Deni ni Tsh 600. Ahsante!
(PATASALIO)
Akiba yako imekatwa kiasi cha Tsh 51 kwa malipo ya mkopo, tarehe 2017/02/04 00:43:35. Deni ni Tsh 549. Ahsante!
sababu za mapenzi na ukawa watu waliikimbia voda mkuu.hawa jamaa ni kiboko aisee, yaani wananyonga mbaya sana nimerudi voda kwa sasa aisee, jamaa yani wanachinja vibaya vibaya
Kwel kbs airtel ns mtandao wa kutumia na wako vzr sana kuliko wenginHuu upuuzi hata airtel naona wameuanza . Hivi karibuni nilijiunga na kifurushi cha mwezi katka session ya Jipimie. Ila sasa wala sina uwezo wa kuangalia salio. Wala jipimie nayo haionekani.
Nimetafuta namba ya huduma kwa wateja, napo hakuna sehemu ya kuongea na watoa huduma.
Mwenye kuijua namba ya watoa huduma ya kulipia naomba anisaidie
Mtandao ni airtel
Hata mb za kfurushi cha chuo wamepunguza mb 500 mchana nab mia uskNi Mara kadhaa Sasa nikiingiza Salio kuanzia 1000 na kuendelea wanakata Salio langu na kusema limelipwa deni. Wakati sijawahi kukopa hata siku moja ktk mtandao wa halotel.
Leo nimeingiza Salio la 1500 nimekatwa Nasema hawa jamaa hawako makini na kazi zao wasidhani huu ni ulimwengu ule kipindi mtandao ya simu inaanza.
Nitaambatanisha hapa SMS zao walizokata pesa wanaonesha muda niliokopa ni usiku wakati simu Yangu automatically inajizima SAA tano kamili usiku na kujifungua SAA kumi na mbili kamili asubuhi kila siku. Ndio maana Nasema hai ni wezi maana huo muda Mimi nakuwa tayari nilisha lala.
SMS zao ni hizo ;
(PATASALIO)
Akiba yako imekatwa kiasi cha Tsh 500 kwa malipo ya mkopo, tarehe 2017/02/04 00:43:35. Deni ni Tsh 600. Ahsante!
(PATASALIO)
Akiba yako imekatwa kiasi cha Tsh 51 kwa malipo ya mkopo, tarehe 2017/02/04 00:43:35. Deni ni Tsh 549. Ahsante!
Tayari mkuuLkn halotel hawajafikia kukopa hadi elfu moja
Aise niliwajaribu kama wiki hivi, nikaitupa sim card ya @halotel sitaki tena kuisikia, matapeli wakubwa..hawa jamaa ni kiboko aisee, yaani wananyonga mbaya sana nimerudi voda kwa sasa aisee, jamaa yani wanachinja vibaya vibaya