Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,065
- 43,496
Nashukuru mungu nilimaliza games zangu zote za kucheza mwaka huu, nahisi bado wanaweza pandisha Tena. Maana ile speed hata kwa 1500 bado Ni deal nzuri.Yametimia..Wameweka GB 10 na bei ni 1500
Haiongezeki mkuu.Je Kama Nina simu haisapoti 4G,,,inasapoti 3g je nikiweka line ya 4g speed ya internet unaweza kuongezeka kidogo tofaut na mwanzo nikitumia 3g
Kikawaida ukiweka line ya 3G kwenye simu ya 4G utapata tu speed ya 3G, Ila Ni vyema kuwa na simu ya 4G maana utapata modem ya kisasa ya 3G pia.Pa1 kuwa cna utaalam vzur na hch k2 ngoja na mm nkuulze swal.
Je kama cm yng ikiw inasupport 4G na nmeweka lne ya 3G kasi yake itakuaj?
Swali lngne niambh kat ya cm na line ipi inayomboost mwenzak.
Hizi simu za kimarekani uwe na 3G ama 4G zinaandika 4G. Ulikuwa Ni mchezo wao kuwadanganya wateja kwamba Hspa Ni 4G.Sijui tatizo ni sim nnayo tumia au laa
Baada ya kuona huu uzi nili enda china plaza
Nika sajili line ya chuo tshs 7000
Nika swap kwenda 4G tshs 2000
Vocha nika weka ya tshs 2000 week GB 5
Natumia internet ila haisomi 4G LTE ina ishia kusoma 4g tu sim ni izi LG G3 at&t mda wote ina icon ya 4g lakin speed ya kawaida kama 3g
Wataalamu emb nisaidien nifanyaje
View attachment 1212712
2000 gb 5 kwa wiki? Kifurushi gani hicho mkuuSijui tatizo ni sim nnayo tumia au laa
Baada ya kuona huu uzi nili enda china plaza
Nika sajili line ya chuo tshs 7000
Nika swap kwenda 4G tshs 2000
Vocha nika weka ya tshs 2000 week GB 5
Natumia internet ila haisomi 4G LTE ina ishia kusoma 4g tu sim ni izi LG G3 at&t mda wote ina icon ya 4g lakin speed ya kawaida kama 3g
Wataalamu emb nisaidien nifanyaje
View attachment 1212712
Umenishtua maana usiku nimekitumia. Vipi ni menu ipi hiyo maana kwangu bado inasoma hiiYametimia..Wameweka GB 10 na bei ni 1500
Ttcl si wanatumia minara ya Tigo pia? Umeweka roaming?Mnipe ushauri guys nilikua natumia Tigo saizi yako gb2 kwa buku 2 siku 3 sasa leo naona wamepandisha ni buku 5 gb 1 nataka kuhama mtandao wa net.
Sasa mtandao gani nitapata vifurushi kwa bei nafuu kidogo ila isiwe ttcl maana tabata haisomi kabisa net.
Kifurushi ni cha chuo uki enda kweny menu wame andika tshs 2000 gb 1.5 plus 500 mb kweny youtube2000 gb 5 kwa wiki? Kifurushi gani hicho mkuu
Asante mkuu nadhani halotel anaweza saidia hapo.Ttcl si wanatumia minara ya Tigo pia? Umeweka roaming?
Ukitoa ttcl Kuna Airtel (uwe na line ya chuo) na Halotel (huna haja ya line ya chuo).
Mitandao yote miwili inatoa mb sawa na shilingi moja yaani kwa 500 unapata mb 500, 1000 unapata 1GB, 2000 2GB etc.
Hiyo roaming siijui kwakweli mkuu.Ttcl si wanatumia minara ya Tigo pia? Umeweka roaming?
Ukitoa ttcl Kuna Airtel (uwe na line ya chuo) na Halotel (huna haja ya line ya chuo).
Mitandao yote miwili inatoa mb sawa na shilingi moja yaani kwa 500 unapata mb 500, 1000 unapata 1GB, 2000 2GB etc.
Nimecheki saiz hapa naona imerud bei ya mwanzo,jana usiku ikabdi nisijiunge mana nilikuta 1500 kwa gb 10Umenishtua maana usiku nimekitumia. Vipi ni menu ipi hiyo maana kwangu bado inasoma hii
View attachment 1212717
Au ulichanganya night offer na vifurushi maalum? Maana halotel Wana vifurushi viwili vya usiku, kimoja 1000 na chengine 1500.Nimecheki saiz hapa naona imerud bei ya mwanzo,jana usiku ikabdi nisijiunge mana nilikuta 1500 kwa gb 10
Jamaa alichanganya hapa, hiki cha 1000 kinatusaidia sana.Au ulichanganya night offer na vifurushi maalum? Maana halotel Wana vifurushi viwili vya usiku, kimoja 1000 na chengine 1500.
Itakua nilichnganya...niliingia Internet nikakuta night pack kama kawaida..ila bei ikawa tofautAu ulichanganya night offer na vifurushi maalum? Maana halotel Wana vifurushi viwili vya usiku, kimoja 1000 na chengine 1500.
Nimekitumia jana Lakini speed wameshusha sana! Hata 3GB sikudownload!!Umenishtua maana usiku nimekitumia. Vipi ni menu ipi hiyo maana kwangu bado inasoma hii
View attachment 1212717
4G? Hauja tether na wifi?Nimekitumia jana Lakini speed wameshusha sana! Hata 3GB sikudownload!!
Nimekitumia jana Lakini speed wameshusha sana! Hata 3GB sikudownload!!
4G ndio...sijui shida ni nini,au labda sababu line ni mpya!!!4G? Hauja tether na wifi?