bora tu ubakie huko huko voda ni gharama ila uhakika unainjoy sio huku kwa halotel bei nafuu ila wizi mtupu kuuziwa data bundle feki ama airtel speed ya kobe. Hawa ttcl sitopoteza muda wangu kuhangaika nao maana vocha yenyewe tu kuipata ni lazma niisafirie mpaka majengo.Mimi nimehangaika na line zote (airtel, halotel, tigo, ttcl, vodacom) lakini sasa nimeamua kurudi njia kuu. Vodacom ni baba lao.
Mpaka nimepitisha maamuzi ya kila mwezi najiunga kifurushi cha 40,000 napata gb 40. Nikirudi mjini ntaanza kutest ttcl maana ipo mjini tu.
Vodacom...tumia bandle za chuo
Inategemea,inawezekana unatumia device ambayo ina "autoupdate" na ukute ilikuwa haijaupdate kitambo!Nimenunua kifurushi cha wiki chenye mb 1200 lakini zimeisha ndani ya nusu saa tena nimeingia jamii forums tu basi. Halafu huduma kwa wateja kuwapata ni ishu kweli kweli.

Niambie zaidi kuhusu TTCLHalotel nishawahama siku nyingi na laini yao nikavunja kabisa. Niko naenjoy na kizazi cha T. Toka nimeanza kutumia ttcl sijawahi kujuta. Nanunua vocha yangu ya 5,000 tu kwa mwezi!



Ukisema Town una maanisha wapi?Mkuu kama uko town Tumia TTCL 4G LTE ni hatari sana
halotel ni wezi kinoma ukitaka kujua ilo zima data alafu weka vocha jiunge then kabla hujatumia angalia salio lazima ukute wamekupangusa mb 5 za utangulizi![]()
Halotel OyeeeeTown=mjiniUkisema Town una maanisha wapi?
Makao makuu ya mikoa na wilaya. Na jiji lote la DarUkisema Town una maanisha wapi?
Mkuu, mm najuta kununua modem ya halotel na hivi sasa hakuna mtu wa kumuuzia tena....kila mtu ameshtukia wizi.Dah wanakula bando kama hawana akili nzuri.
Nishaurini laini nyingine
Hakuna cha spidi wala nn? Hiyo ilikuwa zamani, nao pia wana spidi ya kobe siku hizi.Kwa kweli hamna mtandao wenye speed nzuri km halotel kati ya mitandao niliyowahi kuitumia
Tatizo halotel wamekua wezi siku hizi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Halotel sio tu kuwa ni wezi lakini pia ni qumer wa kutupwa! Achana nao, hamia voda.Nimenunua kifurushi cha wiki chenye mb 1200 lakini zimeisha ndani ya nusu saa tena nimeingia jamii forums tu basi. Halafu huduma kwa wateja kuwapata ni ishu kweli kweli.
Ttcl ipo kwa ajili ya watu wa mjini nyie wa vijiji mbambaneni na hali yenu.Tatizo la network ya ttcl ipo mjini
Simu yangu nilisha set iwe ina update kwa wifi only. Auto update ipo off tokea kitambo. Toa sababu nyingine labda ila sio auto update. Na sikuingia site yoyote ya ku stream video zaidi ya jamii forum tu. Na nimeingia kwa nusu saa tu wananitumia sms kuwa nimebakiwa na mb 5 wakati nilijiunga kifurushi cha 1.2gbInategemea,inawezekana unatumia device ambayo ina "autoupdate" na ukute ilikuwa haijaupdate kitambo!
Nenda kwenye Settings tafuta eneo la Update then badilisha ili isifanye Update automatically!
Kwa hiyo kabla ya kuhitimisha kwamba jamaa wanatatizo angalia device yako kwanza!
Unaweza kumaliza hata Gb10 kwa nusu saa tu![]()
![]()
![]()