Lorenzo Insigne
Senior Member
- Nov 14, 2017
- 132
- 328
Zipo ndio lakin wana mpango wa kuzipoteza ndo maana hata supply yake inashuka sana kuna baadhi vocha zimekuwa adimu. Lengo wanataka offer ya chuo ipatikane kwa wateja wote through *149*81#Mkuu vocha za uni zipo mbona?
Mimi nimehangaika na line zote (airtel, halotel, tigo, ttcl, vodacom) lakini sasa nimeamua kurudi njia kuu. Vodacom ni baba lao.Airtel hao so far nmetoka kujiunga cha jero 1.2gb kwa siku na dk50 airtel huku dkk 10 mitandao yote.
Mwezi sh. 6000 unapata GB4 at least sio mbaya maana mb zao zinaishi tofauti na za hayo majizi ya bundle halotel and other bastards.
Tatizo la network ya ttcl ipo mjiniHalotel nishawahama siku nyingi na laini yao nikavunja kabisa. Niko naenjoy na kizazi cha T. Toka nimeanza kutumia ttcl sijawahi kujuta. Nanunua vocha yangu ya 5,000 tu kwa mwezi!
Kitu voda mkubwa, voda ipo stableKitu Halotel na Voda
Bora hata wewe ndugu unafikisha siku mbiliWanaiba sana MB yani. Nadhani wanatoa MB kidogo halafu tunadanganywa ni 1.2GB zinayoyoma ndani ya siku mbili tu huna kitu unaambiwa umebakiza MB 5 mara wanakukatia huduma. Halotel ni weziiiiiiii mbayaaaa!!!!
Kwel mkuu ,juz nimewapgia custmer cre akakata cm matusi nilyomtukana ni siri yangu halotel n wezNimenunua kifurushi cha wiki chenye mb 1200 lakini zimeisha ndani ya nusu saa tena nimeingia jamii forums tu basi. Halafu huduma kwa wateja kuwapata ni ishu kweli kweli.
Wameiga vodaDah wanakula bando kama hawana akili nzuri.
Nishaurini laini nyingine
Nimekuelewa mkuuZipo ndio lakin wana mpango wa kuzipoteza ndo maana hata supply yake inashuka sana kuna baadhi vocha zimekuwa adimu. Lengo wanataka offer ya chuo ipatikane kwa wateja wote through *149*81#
Ingelikuwa sijajiunga, kwenye salio la kifurushi kusingeandikwa kuwa una dakika 200 halotel- halotel, dakika 15 mitandao yote na mb 0. Naongea kitu nina uhakika nacho. Waache wizi wa mbmkuuu unazingua labda hukujiunga,
Siyo kweli ndugu.Hizo vocha Airtel hawana tena maana wanataka kuzipoteza. Just piga *149*81# utapata menu ya chuo yaan vifurushi vya chuo vipo huko kwa wateja wote bila kujar laini ya chuo au lah
Ni hivi.Dah!..mkuu hiyo 20gb Kwa cku 6 unajiungaje?,ni kifurushi cha ucku tu?
Unaweka pesa airtel money (shilingi 1000) unabonyeza code hii *150*60#Unajiungaje hii mkuu?
Nimekusoma vzr mkuu,...ngoja nimtumieNi hivi.
Unaweka buku au zaid airtel money unamtumia jamaa 600 wanakata ya kutuma 50
unapewa kifurushi cha gb 10 kwa siku 3. Kinaisha na unamtumia tena 600 jumla siku 6.
1500 kipo gb 10 kuanzia saa 5-11 kwa siku moja.
Hukunielewa vizuri
Halotel wana cha 1500 gb 10 cha siku moja kuanzia saa 6 mpaka 11 lkn hii 1500 kwa airtel una Gb 20 ukikagawa kwa 600.
Nafikiri umenisoma. Halotel watasubir sana
Nilishawapa likizo isiyo na muda!! Niko vodaDah wanakula bando kama hawana akili nzuri.
Nishaurini laini nyingine