Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,152
- 190,689
Huo mtandao unaoishia mtaa wa ofisi zao wa nini sasa?Wameshazidiwa siku hizi anyway njoo kwenye kizazi cha T.
Power By TTCL
Huo mtandao unaoishia mtaa wa ofisi zao wa nini sasa?Wameshazidiwa siku hizi anyway njoo kwenye kizazi cha T.
Power By TTCL
Nipo zangu airtel japo speed yao siyo nzuri kivile lkn inanipunguzia gharama za bando.Vibaka kabisa wanatuchezea shere kwenye mb. Unajiona umepewa 1.2gb kwenye meter yao ila nadhani wanatoa less than that. Maybe hata mb700 tu halafu mbaya ukijiloga ku stream tu kwa youtube umekwisha.
Naomba kujua menu unayotumia kupata hzo bundle mkuuNipo zangu airtel japo speed yao siyo nzuri kivile lkn inanipunguzia gharama za bando.
Tsh 500-mb 500 kwa wiki 1
600-10gb kuanzia saa 5 usiku mpaka saa 11 kwa siku 3
500-Dk 50 airtel-airtel, dk 10 mitandao yote, sms bila kikomo na 1.2 gb kwa siku 1
Tigo nishawaacha siku nyingi.
Nilikuwa najiunga cha Gb 10 kwa 1500 kwa usiku lkn kwa sasa hawanioni tena. Nipo zangu airtel 1500 napata gb 20 kwa siku 6 no pressure kwa kweli.
Huduma kwa wateja halotel piga 100, halafu 120 palepale itakuunganisha na mtoa huduma aliyeko mubasharaNimenunua kifurushi cha wiki chenye mb 1200 lakini zimeisha ndani ya nusu saa tena nimeingia jamii forums tu basi. Halafu huduma kwa wateja kuwapata ni ishu kweli kweli.
Unajiungaje TTCL, nina line yao ila siitumiiiWameshazidiwa siku hizi anyway njoo kwenye kizazi cha T.
Power By TTCL
gb ngapi hujasema maana halotel, tigo majizi makubwaMima pamoja na airtel kuwa mwendo wakobe imebidi niwavumilie maana ndoo wanaendana na hali ya sasa nikiweka cha 6000 mwezi gb dk 500 mitandao yote dk 20
Line gani hii cheap ivi????????????Nipo zangu airtel japo speed yao siyo nzuri kivile lkn inanipunguzia gharama za bando.
Tsh 500-mb 500 kwa wiki 1
600-10gb kuanzia saa 5 usiku mpaka saa 11 kwa siku 3
500-Dk 50 airtel-airtel, dk 10 mitandao yote, sms bila kikomo na 1.2 gb kwa siku 1
Tigo nishawaacha siku nyingi.
Nilikuwa najiunga cha Gb 10 kwa 1500 kwa usiku lkn kwa sasa hawanioni tena. Nipo zangu airtel 1500 napata gb 20 kwa siku 6 no pressure kwa kweli.
Airtel hao so far nmetoka kujiunga cha jero 1.2gb kwa siku na dk50 airtel huku dkk 10 mitandao yote.Line gani hii cheap ivi????????????
Bora ya wewe uliye stream video. Mimi wala sija stream video yoyote na pia kwenye apps auto update ipo off (wifi only).Naunga mkono hoja...maana haiwezekani ninunue bundle la buku 10 ambapo napewa gb 10 kwa mwezi...hlf hata mwezi haujafika liwe limeisha...hata sio kwamba nadownload mavitu makuuubwa..sana sana ni kustream video zisizozidi dakika 10 za youtube na kidogo porno sites....ukiondoa hapo ni jf n other social media plus google where needed...lakini kabando kanakata ajabu.
Halotel kama mpo humu mbadilike mlianza vizur kwenye internet na ndo wengi wetu kilichotuvutia kwenu,lkn sasa mnaanza kiburi cha kupata sio.
Airtel wapo vizuri sana kwenye upande wa kutodhurumu mb za mteja, sema shida ipo kwenye speed tu. Ndio laini yangu yakitambo ninayoitumia hadi sasa. Nikienda sehemu ambayo airtel haina nguvu ndio naweka halotel, ndipo nilipokutana maajabu ya 1.2gb kuisha ndani ya nusu saa tena kwa kuperuzi jamii forums tu.Airtel wako sawa kwa 1000 unapata gb 2 ambazo zitaisha mbele ya macho yako, dk 100 airtel kwa airtel na dk 10 mitandao yote, hakuna wizi hapo.
Ila kuna maeneo ukikaa speed ya net hairidhishi sana.
Ni ya chuo mkuu. Ila Gb 10 kwa 600 kwa siku 3 ni kwa kila mtu.Line gani hii cheap ivi????????????
Kuna vocha zao zinaitwa UNI. Kuna ya 500 ni ya siku. Halafu kuna ya buku unapata gb 2, dakika 100 airtel-airtel. Dakika 10 mitandao yote unatumia kwa siku tatu. Na kuna ya sh 1,500 ya wiki; unapata dakika 145 airtel. Dakika 5 mitandao yote na gb 1 kwa siku 7. Pia unaweza kununua kwa airtel moneyHiko cha buku 2 ni cha siku ngapi, mi nimesajili airtel juzi wapo vizuri bundle haliendi chap chap ila speed ndogo tofauti na halotel hata whatsapp call imenizingua sana. Napigaga sana Denmark ila airtel ina reconnect kila saa!