Halotel wana chuma ulete saa hii. Nihamie wapi wakuu?

Halotel wana chuma ulete saa hii. Nihamie wapi wakuu?

Airtel hao so far nmetoka kujiunga cha jero 1.2gb kwa siku na dk50 airtel huku dkk 10 mitandao yote.

Mwezi sh. 6000 unapata GB4 at least sio mbaya maana mb zao zinaishi tofauti na za hayo majizi ya bundle halotel and other bastards.
Ha ha ha ha ha nafikiri cheap ya chuo hii!!, nami naamia huku airtel
 
Vibaka kabisa wanatuchezea shere kwenye mb. Unajiona umepewa 1.2gb kwenye meter yao ila nadhani wanatoa less than that. Maybe hata mb700 tu halafu mbaya ukijiloga ku stream tu kwa youtube umekwisha.

Nimeshuhudia hilo leo nilipoweka kifurushi nikacheka sana.
 
halotel ni wezi kinoma ukitaka kujua ilo zima data alafu weka vocha jiunge then kabla hujatumia angalia salio lazima ukute wamekupangusa mb 5 za utangulizi
 
Airtel wako sawa kwa 1000 unapata gb 2 ambazo zitaisha mbele ya macho yako, dk 100 airtel kwa airtel na dk 10 mitandao yote, hakuna wizi hapo.

Ila kuna maeneo ukikaa speed ya net hairidhishi sana.
Wanakuibia kwa kukunyima speed ya kutumia bando ulilonunua. Hadi lina eksipaya. Hawana maana kabisa.
 
Hiko cha buku 2 ni cha siku ngapi, mi nimesajili airtel juzi wapo vizuri bundle haliendi chap chap ila speed ndogo tofauti na halotel hata whatsapp call imenizingua sana. Napigaga sana Denmark ila airtel ina reconnect kila saa!
KATIBU TTCL
 
Ni ya chuo mkuu. Ila Gb 10 kwa 600 kwa siku 3 ni kwa kila mtu.

Hii sms nimecopy km ilivyo ya member mmoja humu jf

Jamani kile kifurushi cha 10GB kwa 600/= bado
kipo kuna trick ya kukipata hebu fanya hivi weka
pesa kwa AIRTEL MONEY account yako hata buku
hivi then tuma tsh 600/= kwa hii No.
0785566273 utaona jina FRANK LUGANO
usiogope huyu jamaa ni balozi wa airtel wa chuo kikuu cha UDOM baada ya muamala wako
kukamilika just ni dk.0 tu anakutumia SMS yenye
jina lako kamili ulilosajiria laini yako ya Airtel ya
kukushukuru then kama sekunde kadhaa hivi
anatuma SMS yenye namba za UNI na maelezo
jinsi ya ya kuzijaza kwa maana sio za kujaza tu kama vocha zingne kwa mnaotumia hizi vocha za
UNI nadhani mtakua mnajua ambavyo huwa
tunajaza unapiga *149*94* namba za hiyo then
# unapata 10GB zako tu kwa siku 3 kuanzia saa 5
Hizo vocha Airtel hawana tena maana wanataka kuzipoteza. Just piga *149*81# utapata menu ya chuo yaan vifurushi vya chuo vipo huko kwa wateja wote bila kujar laini ya chuo au lah
 
Airtel wako sawa kwa 1000 unapata gb 2 ambazo zitaisha mbele ya macho yako, dk 100 airtel kwa airtel na dk 10 mitandao yote, hakuna wizi hapo.

Ila kuna maeneo ukikaa speed ya net hairidhishi sana.
Unajiungaje hii mkuu?
 
Nipo zangu airtel japo speed yao siyo nzuri kivile lkn inanipunguzia gharama za bando.
Tsh 500-mb 500 kwa wiki 1
600-10gb kuanzia saa 5 usiku mpaka saa 11 kwa siku 3
500-Dk 50 airtel-airtel, dk 10 mitandao yote, sms bila kikomo na 1.2 gb kwa siku 1
Tigo nishawaacha siku nyingi.
Nilikuwa najiunga cha Gb 10 kwa 1500 kwa usiku lkn kwa sasa hawanioni tena. Nipo zangu airtel 1500 napata gb 20 kwa siku 6 no pressure kwa kweli.
Dah!..mkuu hiyo 20gb Kwa cku 6 unajiungaje?,ni kifurushi cha ucku tu?
 
gb ngapi hujasema maana halotel, tigo majizi makubwa
Mkuu hapo unapata Dk 480 airtel to airtel,Dk 20 mitandao yote na GB 4 Kwa mwez,,ila unajiunga Kwa vocha yao flani inauzwa 6000,wanaita UNI ya mwezi.
 
Nimenunua kifurushi cha wiki chenye mb 1200 lakini zimeisha ndani ya nusu saa tena nimeingia jamii forums tu basi. Halafu huduma kwa wateja kuwapata ni ishu kweli kweli.
mkuuu unazingua labda hukujiunga,
 
Hizo vocha Airtel hawana tena maana wanataka kuzipoteza. Just piga *149*81# utapata menu ya chuo yaan vifurushi vya chuo vipo huko kwa wateja wote bila kujar laini ya chuo au lah
Mkuu vocha za uni zipo mbona?
 
Back
Top Bottom