Nimewahi kuitumia hiyo, nilipanga mzingo kama wa gb50 kuanzia saa sita hadi 12 asubuhi nilivuta kama 35gb. Labda wamebadilikaa sasa.iyo ya 1000 wala usijidanganye, wana 'cap' speed unajikuta umetumia 4GB usiku wote
hii sio kama imekuja leo wala jana wala juzi, ipo mda sasa, kama 'offer ya ramadhani' ila labda iwe baati yako, ila maeneo ya uku nilipo, kuzidi 5GB ni mbinde mno, spidi inakolea kuanzia saa 9 ukongoja tujarbu tutaleta mrejesho badae