Kwa hiyo inamaana wanakulimit utumie 500mb kwa siku?
Kama ndiyo basi haina maana yoyote coz Kuna heavy user watataka kuzikamua zote kwa siku 1 au 2 sasa huo ukuta mh....
Halotel kwangu ndio namba 1 upande wa internet kwa eneo nilipo mimi.
Nimeipenda hii menu ya kwenye halopesa.
Ila najijuaaa nikiweka huu mzigo wa gb15, najua mwezi hauishi nishazimaliza.
Hapo ndio patamu...
Ila kwa hiyo pesa 10000 afadhali waweke limit tu.
Maana huwezi spend 15gb kwa 10000 in one or two days mkuu.
Ni afadhali ujinyime usingizi kwa zile night bundle kwa 1000, 10gb or unlimited.
Hiyo ngumu maana huku kwetu Kuna mambo ya kutii sheria Bila shurti mzee baba,
Shangazio kapiga marufuku laptop kuwashwa baada ya saa 4 vimginevyo hupewi matandu
nina card ya halotel lakini nasikitika huku kijijini mtandao hakuna,kufaidi hayo yote ni mpaka siku za sikukuu nikienda mjini kuona lami na masuruali ya wadada