Halotel waja kivingine

Ile menu ya chuo ilikuwa msaada sana kwa wale wasio kuwa na line za chuo, sasa badala ya 500, imekuwa 1000.
 
Bye bye Tigo, Voda n.k
 
Halotel kwangu ndio namba 1 upande wa internet kwa eneo nilipo mimi.
Nimeipenda hii menu ya kwenye halopesa.
Ila najijuaaa nikiweka huu mzigo wa gb15, najua mwezi hauishi nishazimaliza.
.wewe ni mtumiaji wa mb kupita kiasi?
 
Ni kweli,mke wangu hana laini ya chuo, vifurushi vyake ni full upuuzi.
Yaani vifurushi vyake duuh. Ila bora hivyo vya halopesa coz 500 anapata 500mb/day. Wakati kawaida 500 mi 200mb/day.
Akitaka cha week ajitutumue cha 1000 ambacho ni 1Gb /week. (Ana mb za ziada compare na za chuo) na vyote vina dk.
 
Mimi laini ya mke wangu hicho cha 1gb kwa 1000 hakipo kabisaaaaaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…