Ahsante, vipi lakini vifurushi vyao si vipo poa?Pole mkuu
Upo sehemu gani mpaka network ya halotel inakuwa mbovu maana mi naendaga hadi vijijini huko na ngoma inasoma 3g na kwa speed nzuri tuNetwork mbovu.
Simalizi Mb 20 kwa siku
hapa ipo 2g.Upo sehemu gani mpaka network ya halotel inakuwa mbovu maana mi naendaga hadi vijijini huko na ngoma inasoma 3g na kwa speed nzuri tu