Halotel Tanzania mnakwama wapi?

Jan 11, 2019
94
161
Heshima kwenu wakuu......!!

Binafsi nimekuwa mtumiaji mzuri wa mtandao wa halotel wa mda mrefu tangu ulipoanzishwa kwa hapa kwetu Tanzania mwanzoni tulifurahia huduma ila kipindi hiki sijui mnakwama wapi ,unakuta line yako ina bando lakini haulitumii kila ukihitaji kufanya mambo yako line yako inafail.

Kingine halotel mnapokwama hivi inakauje laini tusha confirm kwa alama za vidole lakini mnaifungia line mpaka mthibitishe tena.
uongozi wa huu mtandao embu tunaomba mtutalie hii changamoto haiwezekani line ina bando ila mnampangia mtu mda wa kutumia bando lake.

Wakuu jioni njema bhana.....!!!
 
Mi mkuuu unakuta kabis imeonyesha umepata mb 1024. Lakin bado inasema sign in halotel kiukwel wananikela Sana mkuuu yaan bando umeweka et sign tenah yaan. Mpka usubir dakika kadhaa ndio isom.
 
Mi mkuuu unakuta kabis imeonyesha umepata mb 1024. Lakin bado inasema sign in halotel kiukwel wananikela Sana mkuuu yaan bando umeweka et sign tenah yaan. Mpka usubir dakika kadhaa ndio isom.
mkuu mm hiyo tabia inajitokeza mara kwa mara mpaka wao waamue ndo inakubali kinachoniuma ule mda wewe kwako imegoma kuna mwenzako ya kwake inafanya kazi.nliongea na wahudumu wao wakaniambia watalifanyia kazi hilo tatizo
 
Kiukwl.sas hiv nikiwek mb zinakata mapema Sana hta sijui au ndio hii sababu ya kuweka bando alafu sign in halotel eety mkuu
 
Bado unatumia Halotel wakati mitandao mingine ipo na huduma nzuri.

Wao si wanajiona wameridhika na pesa walizopata.
Usiteseke na pesa yako.
 
Back
Top Bottom