Hiyo ni ndogo hakuna halotel wala airtel wete ni shwaini tu mimi niliweka mb 150 airtel dakika kumi tu zote kutoa hiyo ni whtasp tu halotel kuweka buku kwanza wakapita na 30 kuja kuweka mb110 hiii komosha nusu saa mb kutoa nimekoma kabisa
TCRA huu wizi wanaufanya halotel hamuuoni?
UNAJIUNGA BANDO LA MB 250. Lakini ukifungua tu data. Lazima MB 10. ziondoke. haijalishi kumeingia notifications au la. Wanatuibia sanaaaaaa