Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,112
- 4,663
pole nilijua peke yanguHalotel baada ya kusifiwa kua na huduma nzuri lakini saizi ni tofauti kabisa spidi yao ya intanet imepungua sana afu wanakula Mb unaweza sema simu imetoboka znavujia chini mwanzo Mb 600 nilikua natumia hata kwa siku 3 lakini saizi hata masaa 24 hazimalizi muda sio mrefu natupa line lenu maana nilinunua kwa ajili ya Mb
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kabisa mimi wananikata sh 50 kila sikuHalotel mpaka salio la vocha linalobaki kwenye cm wanasepa nalo
Aisee nahamia ttcl,nasikia Hata internet inakasi sana
Don't top up your voucher while data connection is on!Jamani naomba kujua naongea vipi na wahudumu wa halotel. Juzi nimeweka elfu 2000,nikakaa dakika 10 hivi ile nataka kujiunga naambiwa sina Salio la kutoka,Ku check nimekatwa 1625. Duh!!!nikapiga 100 sikuwapata aisee Nina hasira nao hawa mbwa
Basi na mimi nahamia hukoSijawahi kujuta kuhamia ttcl miezi 6 nafurahia huduma
Nilikuwa nimeishiwa mb,nikazima data.
Hata mimi hii imenikuta!!umebakiwa na mb 5 then haipiti hata dak 1 unaambiwa umemaliza mb za kutumia
Hii Kweli kabsaumebakiwa na mb 5 then haipiti hata dak 1 unaambiwa umemaliza mb za kutumia
Omba ruhusa kwanzaBasi na mimi nahamia huko
Ahahaaaa sawaOmba ruhusa kwanza