Halotel mnatuibia wateja wenu

Sio siri naomba serikali iwakague hawa jamaa
 
Sas hamtaki MB ziliwe na mnatumia net sana mnategemea nn

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 
Halotel niliwapenda sana nikawatetea sana lakini wamekua wapuuzi sana. Na line nimeweka kwenye begi nimehamia airtel nao tatizo mtandao upo slow mpaka kero, Ttcl wapo vizuri lakini mpaka uwe town huku tabata kwetu nao hata mtandao haupandi dah.. Nimeamua kujikongoja na airtel tutafika tu.

Xmass Boy.
 
mimi nauza modem ya halotel afu line tachoma tu moto,limtandao la kijinga kabisa hili...hii nchi tunanyonywa sana daah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…