Kyawanjubu
JF-Expert Member
- May 13, 2017
- 2,453
- 2,206
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Halotel mpaka salio la vocha linalobaki kwenye cm wanasepa nalo
masaa 24 utoboi unaona sms umebakiwa na mb 5Aseeh me nlizan matumiz yangu yamekuwa makubwa,
lakini kila nikijaribu kupunguza hata masaa 24 cjafanikiwa kufikisha
umebakiwa na mb 5 then haipiti hata dak 1 unaambiwa umemaliza mb za kutumia
usiwaambie bana watajaa lolHalotel mizinguo tu""karibuni ttcl
Hili nakubaliana na ww kabisa lakin sasa airtel kwa maeneo ambayo wengine tunaishi ni tatizo ktk internet tunalazimika kutumia halotel ....mwisho tunapata maumivu na vifurushi vya chuo wamepunguza mb yaani tafrani tupu