Halotel mnakera, internet yenu imepungua kasi sana

Halotel mnakera, internet yenu imepungua kasi sana

Waliwekeza katika mkakati wa kuhamasisha wingi wa wateja wakasahau kuwa lazima viende sambamba na kupanua miundo mbinu yao. Taaluma za watu hizo!
 
Wanaboa,wanakera...imenibidi leo nijiunge bundle la vodacom.Halotel is hopeless!
 
Alafu hao halotel ukienda miji mikubwa zero kabisa yani ukiwa mwanza ata picha hupost sijui wamekuaje nikiwa Mwanza,Arusha au Dar lazima nihamie airtel halotel acheni hizo
Mmh! Mbona mi fresh tu huku Rock City.
 
Hao wapuuzi washashiba sasa ndo maana.
Yaani bongo nzima mitandao yote upupu mtupu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom