Pamoja na mapungufu yao ila kwa kuwa naingia kwenye Sim Banking bila kulazimika kuwa na airtime binafsi nawaona wao ni bora kuliko washindani wao. Mitandao mingine hawana huu uungwana.Halotel wako vizuri sana kwenye internet
Tatizo lao kubwa wana customer care mbovu kupata kutokea...sio wa kike wala wa kiume!!yaani unaongea na customer care anavyojibu ni kama anajua mnashare dick
......UDATE......Halotel ndio mtandao mbovu kuwahi kutokea Tanzania; mtandao niko near na HQ lakini mtandao unapotea saa zima?[emoji848][emoji848][emoji848]
Wahusika wamekaa ofisini wamejaza mavitambi tu, kama mjini ndo mnasua sua hivi je huko kijijini hali ikoje?
Nimeingia mlandizi mara kadhaa hapo,bars zinakata,huoni hata moja.Ili ubahatishe lazima uwe mjini!
Sehemu ambayo network ni ya shida kabisa ujue basi TIGO ndo atasoma H, H+ nk.
Halotel kazi imewashinda, network shida, vifurushi mmepandisha bei, hela haiokotwi. Wacheni UTOPOLO!
......UDATE......
Leo tena jumamosi,tar 8/8/2020 saa13:15 Mtandao wa Halotel data imekata.Niko HQ hapa,hivi Halotel kazi imewashinda?Mnazingua.
Hapo chini data iko on,lakini halotel data imepotea.
Duh ni hatari.........UDATE......
Leo tena jumamosi,tar 8/8/2020 saa13:15 Mtandao wa Halotel data imekata.Niko HQ hapa,hivi Halotel kazi imewashinda?Mnazingua.
Hapo chini data iko on,lakini halotel data imepotea.View attachment 1530864

Kawaida tu mimi mitandao yote natumia.Tanzania hakuna mtandao mzuri kama Vodacom. hawa jamaa ni shida
Kawaida tu mimi mitandao yote natumia.
Acheni kuwaonea Halotel hili ni tatizo la nchi nzima.Kweli kabisa hata Mimi nilikuwa nikipiga customer care navyopata majibu yao mpaka imebidi nihame mtandao
Yani ni Kama hawana taaluma ya kazi zao
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani leo hali ni mbaya sana. Huduma zipo chini kabisa kiasi cha kwamba huwezi kununua bundle. Muda wote inaonesha kwamba ni error au huduma haipo.Hivi nilidhani ni Mimi tu...yaani unakata unapotea kabisa ..bas nikahis shida labda simu...haitakuja tokea mtandao wa ovyo Kama Halotel...waende "Mombasa" wehu hawa
Namuunga mkono, Ninaishi Dar Es Salaam, ninejaribu mitandao yote, Smile, Tigo, Halotel, Airtel, Zantel, na Voda... mtandao wa uhakika ni Voda pekeeinaonekana upo eneo nyeti ambalo lipo locked
Hii ya leo na mimi imenikuta sasa hivi natumia internet ya Tigo. Halotel hawanioni tena. Biashara yangu bila internet haifanyiki ila hawa wapuuzi hawajui hilo!Una raha wewe leo imekataa..mie toka juzi saa4 usiku hata line haisomi...Jana mzima nimeshinda nawasha na kuzima simu WAP...Bahati mbaya ndo line ya mishe mishe..nawaangalia tu Sina hata nguvu za kwenda mjini
Mie najua nimetafutwa Sana unakosa deals kihuni huni tu maisha magumu.hivi🥺 ..shenzy Sana Hawa majamaaHii ya leo na mimi imenikuta sasa hivi natumia internet ya Tigo. Halotel hawanioni tena. Biashara yangu bila internet haifanyiki ila hawa wapuuzi hawajui hilo!
Halotel ndio mtandao mbovu kuwahi kutokea Tanzania; mtandao niko near na HQ lakini mtandao unapotea saa zima?[emoji848][emoji848][emoji848]
Wahusika wamekaa ofisini wamejaza mavitambi tu, kama mjini ndo mnasua sua hivi je huko kijijini hali ikoje?
Nimeingia mlandizi mara kadhaa hapo,bars zinakata,huoni hata moja.Ili ubahatishe lazima uwe mjini!
Sehemu ambayo network ni ya shida kabisa ujue basi TIGO ndo atasoma H, H+ nk.
Halotel kazi imewashinda, network shida, vifurushi mmepandisha bei, hela haiokotwi. Wacheni UTOPOLO!
......UDATE......
Leo tena jumamosi,tar 8/8/2020 saa13:15 Mtandao wa Halotel data imekata.Niko HQ hapa,hivi Halotel kazi imewashinda?Mnazingua.
Hapo chini data iko on,lakini halotel data imepotea.
Umerejea mkuu,sijui huko kwenu kama bado unasumbua,mimi huku ulitoka kabisa kuanzia saa 7.30 mchana ukarudi mida ya saa 8.30 mchana..Tangu jana usiku naangaikana Halotel mtandao hakuna.. super slow