Ba Razaack
Member
- Jun 15, 2020
- 31
- 41
Halotel n hovyo saaaana
Kweli kabisa hata Mimi nilikuwa nikipiga customer care navyopata majibu yao mpaka imebidi nihame mtandaoHalotel wako vizuri sana kwenye internet
Tatizo lao kubwa wana customer care mbovu kupata kutokea...sio wa kike wala wa kiume!!yaani unaongea na customer care anavyojibu ni kama anajua mnashare dick
Kweli kabisa hata Mimi nilikuwa nikipiga customer care navyopata majibu yao mpaka imebidi nihame mtandao
Yani ni Kama hawana taaluma ya kazi zao
Sent using Jamii Forums mobile app
Me nawakubali Sana hasa kwenye line zao za 4GWakibadilika hapo kwenye huduma kwa wateja tu,watakuwa ni mtandao mzuri sana
Kweli kabisa!Kila kitu wapo okay...
Ni customer care inawaangusha
Hujanote this week net inavyokata na kurudi,kukata na kurudi.Halotel nawakubali kinoma
Hujanote this week net inavyokata na kurudi,kukata na kurudi.Kila kitu wapo okay...
Ni customer care inawaangusha
Jamani ,[emoji850][emoji850]Halotel wako vizuri sana kwenye internet
Tatizo lao kubwa wana customer care mbovu kupata kutokea...sio wa kike wala wa kiume!!yaani unaongea na customer care anavyojibu ni kama anajua mnashare dick
Huku nilipo haijatokea hiyo kituHujanote this week net inavyokata na kurudi,kukata na kurudi.
Hujanote this week net inavyokata na kurudi,kukata na kurudi.
Labda time hiyo wewe hukuwa unatumia net.
Ndo hicho ninachozungumzia "kupungua kidogo.Kupungua kwake mpaka 'mnara' unakata.Unasikilizia weee,unafanya configuration,mara huo unatumia unakata tena.Ukiuponda halotel tunasema mwana kulitafuta na kuli geti kwangu ndo mtandao bora ata speed ingawa imepungua kidogo saivi.
Niko na vodacom, ttcl,tigo, ila halotel ni the best ata offa zao kwa mkoa niliopo
Exactly.Natumia halotel 24/7.Sijwahi zima data na ndo maana i noticed.Kwangu sijaona,labda ilitokea nikiwa offline ama nilikuwa natumia ya mtandao mwingine
Exactly.Natumia halotel 24/7.Sijwahi zima data na ndo maana i noticed.
Yal,still ndo natumia mpaka now wahusika wanasoma hapa wafanyie marekebisho kasoro hizo.Lakini sio wabaya sana
Wateja sijui wamezidi au ndo wamelidhika nao kama ttcl ambao ni utopolo kiwango cha lami, saivi halotel mwenyewe siwaelewi elewi kabisa hizo changamoto unazo sema nakutana nazo mara chache baadhi ya maeneoNdo hicho ninachozungumzia "kupungua kidogo.Kupungua kwake mpaka 'mnara' unakata.Unasikilizia weee,unafanya configuration,mara huo unatumia unakata tena.
That dayz mitandao ilikuwa inaongoza kwa kasi tz kwa mujibu wangu.
1.Halotel
2.Zantel~huu unaspeed sana,sema wanakula na kujigalagaza mb kama babalevo na shishifood.
3.tigo
4.Vodacom
5.Ttcl
6.Airtel