Halotel mna nini? Kwanini Internet yenu inasumbua hivi?

Halotel mna nini? Kwanini Internet yenu inasumbua hivi?

Siyo wiki ya tatu tu we nae bana..hao wako hivyo siku zote,internet yao ni kimeo kupita kiasi afu iko mjini tu..bure kabisa hawana maana hata kidogo
Hiyo ya siku zote labda kwenu tu boss..ila hapa mjini wmeanza kuzingua hawna hata mwezi...4G yao tu haikua chamtoto...3G minimum 1MBS

Uliza tuliokua tunatumia night pack yao..kushusha GB100 kwa usku mmoja ilikua kawaida tu...muulze Chief-Mkwawa
 
Issue frequency, simu nyingi hazina band za Halotel zote Hivyo wanarundikwa wengi band 2100.

Kama una simu nzuri, mjini na band 2600 speed yake ni kubwa sana.
 
Ni kweli mkuu,yaani inaudhi kweli
Mkuu hawa jamaa walitaka kuyumbisha uhusiano kisa hili suala lao la SMS....

mteja unampigia saivi haipatikan , unakata unapiga tena anapatikana , quality ya voice Kati yako na unaeongea nae si nzuri ....au mtu anakatika tu hewani ghafla ....ila simu inabaki hewani.

Mbs huku ndo kilio ....unaweza ukawa umezima data ukashangaa unaletewa SMS ya kumaliza mbs .....au unaweza unga kifurushi saivi ......SMS ya kuungwa bundle ikaja kesho jioni....yaan ili mradi ni vurugu tu.

jamaa walikua vizuri Sana ila sijui imekuaje tena.. wafanye marekebisho.
 
Voda ndio kila kitu pamoja kua Wana gharama Ila jamaa wamejipanga kila idara kuanzia mpesa na net ndio usipime waliwekeza Sana kupitisha waya Fulani chini ya ardhi kwa kila mnara Tanzania nzima.
 
Back
Top Bottom