Halotel mna nini? Kwanini Internet yenu inasumbua hivi?

Halotel mna nini? Kwanini Internet yenu inasumbua hivi?

Hata mie niliwatumia sana vizuri tu kwenye data. Kilichonifanya niachane nao ni gharama zao za bando data kulinganisha na Airtel.
Mbona wanagharama nafuu sana kwny bando yan hdi 1000 dk 50 mitandao yote kwa wik, ah 2000 dk 150..
 
Namililiki line nne
Airtel
Halotel
Tigo
Voda
Huwa naenda kimaslahi na kiufanisi
Nachenji matumizi ya line kulingana na gharama na ubora. Siyapi malamiko nafasi.
 
Halotel wako vizuri sana kwenye internet

Tatizo lao kubwa wana customer care mbovu kupata kutokea...sio wa kike wala wa kiume!!yaani unaongea na customer care anavyojibu ni kama anajua mnashare dick
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] jamani Dea lol

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Halotel wako vizuri sana sehemu za bush. Huko huwakuti Tigo. Labda Airtel.
 
Hii bando sikuijua. Unanitamanisha nirudi Halo....
mbona kuna bando 1GB but unalipa kwa halopesa buku wiki moja ukichagua vocha na vifurush unaenda internet zen mega bando fresh
mi nina internet cafe yangu na uwa natumia halotel
 
Hivi nilidhani ni Mimi tu...yaani unakata unapotea kabisa ..bas nikahis shida labda simu...haitakuja tokea mtandao wa ovyo Kama Halotel...waende "Mombasa" wehu hawa
Simu zenu zina shida, nilishawahi tumia halotel nikiwa na Samsung A30 ilikuwa inasumbua vibaya net na soma yake ya 4G ilikuwa ya wizi wizi tu, nikabadili simu nikachukua A71 hiyo shida ikaacha. Ila sasa hivi siitumii kwa utashi wangu binafsi nimebaki na vodacom baba lao
 
Mi nna 3yrs natumia halotel...umeanza mwezi huu ujinga ujinga huo
 
Halotel wako vizuri sana kwenye internet

Tatizo lao kubwa wana customer care mbovu kupata kutokea...sio wa kike wala wa kiume!!yaani unaongea na customer care anavyojibu ni kama anajua mnashare dick
you girl you know [emoji849]
 
Huku vijijini tunapeta tu na halotel(H+),hizo takataka nyingine tumewaachia wa mjini mkomae nazo.
Sure
Hakuna mtandao wenye coverage kubwa ya internet kama halotel hapa Tz , huu ndiyo mtandao ambao hata kijiji cha mbali kabisa utatumia internet tena ya H+
Hao voda ,airtel na wenzao wapo mijini tu tena miji yenyewe ni Wilaya kongwe na manispaa tu kwingine ukitegemea internet yao bando litakufia tu
 
[emoji25][emoji25]Niliwaamini sana hawa halotel aiseee ilikuwa kila kona ya nchi network full yaan H+ .. niliendaga lushoto vijijini kabisa mitandao yote ilikuwvhaishiki ila wao tu..

lakin doh ivi saiz network utakuta inasumbua wiki nzima bandle zinapotea bure, network ya internet haipandi kabisa aisee. Nimerudi Tu TiGo kama zaman
 
Mtandao wa watoto
Ndorobo mkubwa we.. labda kwako halotel baba lao kwenye internet na sahivi naanza kuiamini pia kwenye maswala ya halo pesa.. mnaolalamika jichunguzeni na vifaa mnavyotumia gharama zao nafuu Sana na spidi amaizing.. wako njema matatizo mengine ni yakawaida tu ila still halotel best to me..😜
 
Back
Top Bottom